https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    CCM yatangaza rasmi kikosi chake cha kampeni 2015 jijini Dar leo

    DSCF8406
    Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza mbele ya Waandishi wa habari (hawapo pichani) mapema leo asubuhi,katika Ofisi Ndogo za Makao Makuu ya CCM Lumumba jijini Dar es Salaam  kuhusiana na uteuzi wa kamati ya Kampeni  kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu  Oktoba 2015,ambayo itaongozwa  na Katibu Mkuu wa CCM
    Ndugu Abdulrahman Kinana pamoja na  Wajumbe
    Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) taifa
    jana Agosti 17, 2015 katika kikao chake cha siku moja kilichofanyika
    katika Ofisi Ndogo za Makao Makuu ya CCM Lumumba jijini Dar es Salaam
    chini ya Mwenyekiti wa CCM Rais Dokta Jakaya Mrisho Kikwete imekamilisha
    kazi ya uteuzi wa Wagombea Ubunge katika majimbo mawili ya Singida
    Mashariki na Kiteto.


    Wagombea ubunge walioteuliwa kupeperusha bendera ya CCM katika majimbo hayo ni pamoja na Ndugu Jonathan Njau (Singida Mashariki) na Ndugu Emmanuel Papian John (Kiteto).


    Aidha Kamati Kuu imefanya uteuzi wa Kamati ya Kampeni kwa ajili ya
    Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2015 ambayo itaongozwa na Katibu Mkuu wa CCM
    Ndugu Abdulrahman Kinana. Wajumbe wa Kamati hiyo ni kama ifuatavyo;-
    1.
    KAMATI YA KAMPENI YA CHAMA CHA MAPINDUZI
    1. Ndugu Abdulrahman Kinana – Mwenyekiti
    2. Ndugu Rajab Luhwavi – Makamu Mwenyekiti – Bara
    3. Ndugu Vuai Ali Vuai – Makamu Mwenyekiti – Z’bar
    4. Ndugu Sofia Simba
    5. Ndugu Mohamed Seif Khatib
    6. Ndugu Asha-Rose Migiro
    7. Ndugu Samwel Sitta
    8. Ndugu Nape Nnauye
    9. Ndugu Mwigulu Nchemba
    10. Ndugu Harrison Mwakyembe
    11. Ndugu January Makamba
    12. Ndugu Amina Makillagi
    13. Ndugu Christopher Ole Sendeka
    14. Ndugu Stephen Wasira
    15. Ndugu Abdallah Bulembo
    16. Ndugu Hadija Aboud
    17. Ndugu Mohamed Aboud
    18. Ndugu Lazaro Nyalandu
    19. Ndugu Issa Haji Ussi
    20. Ndugu Waride Bakari Jabu
    21. Ndugu Mahmoud Thabit Kombo
    22. Ndugu Shamsi Vuai Nahodha
    23. Ndugu Maua Daftari
    24. Ndugu Stephen Masele
    25. Ndugu Pindi Chana
    26. Ndugu Shaka Shaka
    27. Ndugu Makongoro Nyerere
    28. Ndugu Bernard Membe
    29. Ndugu Sadifa Juma Khamis
    30. Ndugu Antony Diallo
    31. Ndugu Livingston Lusinde
    32 . Ndugu Ummy Mwalimu

    Imetolewa na:-
    Nape Moses Nnauye, 

    KATIBU WA HALMASHAURI KUU YA TAIFA,
    ITIKADI NA UENEZI
    18/08/2015
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: CCM yatangaza rasmi kikosi chake cha kampeni 2015 jijini Dar leo Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top