https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    Moto wa vichakani ukafika mpaka Barabarani, ona picha na video gari zilivyoteketea..

    Cars are shown burning on the Interstate 15 freeway in the Cajon Pass, California in the frame grab from KNBC video July 17, 2015.  A brush fire burning in foothills north of Los Angeles overran a freeway in a mountain pass on Friday, torching several cars and trucks as drivers scrambled to safety.  REUTERS/NBCLA.COM/HANDOUT  FOR EDITORIAL USE ONLY. NOT FOR SALE FOR MARKETING OR ADVERTISING CAMPAIGNS  NO SALES NO ARCHIVES       TPX IMAGES OF THE DAY
    Kama unasafiri kwenye barabara kubwa kama ya Dar-Mbeya, au Dar-Mwanza au barabara yoyote kubwa ya magari njiani kuna vibao vya tahadhari kwamba usiwashe moto.. ule moto athari yake sio kwenye misitu pekeake, noma inaweza kuhamia hata barabarani !!
    0
    July 17 2015 barabara kuu ya California-Las Vegas Marekani wameshuhudia hili tukio, moto ulikuwa unawaka tu vichakani.. upepo mkali ukausukuma ule moto mpaka barabarani.. kulikuwa na magari ambayo hayakupona kabisa, yameshika moto na kuishia hapohapo japo watu wa Zimamoto walijitahidi kuzima kwa kisasa kabisa kutumia Helicopter lakini sio gari zote zilizopona.
    wild-fire
    Madereva wa magari na watu waliowabeba wakaona hili sasa balaa, ikabidi wayaache magari na kukimbia.. kilichotishia watu sio moto pekeake, kulikuwa na milio ya milipuko mikubwa ambayo ilitokana na matairi ya gari kupasuka.
    Zaidi ya magari 20 yameungua kwa moto, mengine yalitelekezwa na watu waliokimbia.. na kuna wengine ilibidi wageuze kurudi walikotoka ili kujiokoa… hakuna taarifa kama kuna mtu yoyote aliyefariki ila kuna majeruhi ambao ni watu wawili tu.
    2380
    AP_California_Wildfire_150718_DC_16x9_992
    Hali ilikuwa mbaya kiasi cha kusababisha hata barabara kufungwa… Hiyo story iko na kwenye Video hapa.
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: Moto wa vichakani ukafika mpaka Barabarani, ona picha na video gari zilivyoteketea.. Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top