
"Uongozi usioyafahamu matatizo ya
Watanzania kiundani hauna uhalali wa kuelezea suluhisho la matatizo
hayo. Tumechoshwa na aina ya uongozi wa kuletewa ripoti maofisini, na
Leo tumeendeleza ziara ya kuwatembelea wananchi na kusikia kero zao Za
msingi. Tukutane Jangwani Jumamosi hii ya tarehe 28.8.2015 tuweze
kuwaeleza namna tulivyojipanga kufanya ukombozi wa kiuchumi. Tuko Tayari
kwa mabadiliko"-Edward Ngoyai Lowassa









0 comments:
Post a Comment