https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    HABARI NZURI MPYA KWA MASHABIKI WA MANCHESTER UNITED

    man
    Timu yako inafanya nini hivi sasa kwa ajili ya msimu unaonaza siku nne zijazo? Hilo ndilo swali la msingi kujiuliza kwa sasa hivi, timu bora ni ile inayofanya usajili kuongeza nguvu sehemu zenye mapungufu kwa ajili ya msimu ujao. Pia ile inayoongeza mikataba ya wachezaji wake bora kwa miaka ijayo inajiweka pazuri.
    Sasa habari nzuri kuhusu Manchester united ni kwamba imekubaliana kuongeza mkataba na mchezaji wao tegemezi Ashley Young.Kutokana na ripoti zilizotoka ni kwamba Young anategemewa kusaini makaratasi ya mkataba mwisho mwa wiki hii. Mchezaji huyo mwenye miaka 30 anakaribia kufikia mwisho wa mkataba wake wa sasa hivi ambao alitokea Aston Villa kwa gharama ya £16 million
    mmm
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: HABARI NZURI MPYA KWA MASHABIKI WA MANCHESTER UNITED Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top