HII SASA KALI:MGOMBEA URAIS KUPITIA HAJUI KIPAUMBELE CHAKE! HAJUI KWANN ANATAKA KUWA RAIS
Mgombea
urais wa chama cha ACT wazalendo bi Anna akiojiwa na Itv kuhusiana na
kipaumbe chake ameshindwa kujibu! pia ameulizwa anagombeaje urais wakati
pia alichukuwa form ya kugombea Ubunge pia ameshindwa kujibu....
0 comments:
Post a Comment