https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    Hizi ni picha za Mesut Ozil na Miss Uturuki zinazozua hofu kuhusu ukaribu wao

    AMINE-GULSE
    Miss Uturuki Amine Gulse
    Picha ambazo zimekuwa zikizunguuka katika vyombo vya habari mbalimbali Uturukizikimuonesha kiungo wa kimataifa wa Ujerumani anayeichezea klabu ya Arsenal yaUingereza Mesut Ozil ameonekana akiwa na miss Uturuki kitu ambacho kinazua maswali mengi huenda wanamahusiano ya Kimapenzi.
    mesut-ozil-getty_2830088b
    Taarifa hizo zinakuja ikiwa masaa kadhaa yamepita  toka beki wa zamani wa klabu yaManchester United Gary Neville ahoji kuhusu mchango wa kiungo huyo katika klabu yaArsenal ya Uingereza kabla ya mechi ya Liverpool dhidi ya Arsenal ambayo ilimalizika kwa 0-0.
    PAY-Mesut-Ozil (1)
    PAY-Mesut-Ozil

    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: Hizi ni picha za Mesut Ozil na Miss Uturuki zinazozua hofu kuhusu ukaribu wao Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top