https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

.

.

.
  • Latest News

    .

    HUYU NDIO ROONEY UNAEMJUA WEWE…ANGALIA PICHA ZAKE NYINGINE AKIWA BADO KINDA

    Wayne Rooney enzi za utoto wake
    Wayne Rooney enzi za utoto wake
    Wayne Rooney ni mchezaji wa Manchester United mwenye heshima kubwa kwenye klabu yake, taifa lake na dunia kwa ujumla kutokana na uwezo wake mkubwa awapo uwanjani.
    Kutoka kushoto: John Rooney (7), Graeme Rooney (10) na Wayne Rooney (12)
    Kutoka kushoto: John Rooney (7), Graeme Rooney (10) na Wayne Rooney (12)
    Leo nimekuwekea picha kadhaa za Rooney wakati akiwa mdogo, kumbe huyu jamaa na yeye ni kama wachezaji wengine wenye majina makubwa duniani, alianza kucheza mpira akiwa na umri mdogo sana na kitu cha kufurahisha ni kwamba wadogozake pia walikuwa wanacheza mpira japo hawakufanikiwa kuvuma duniani kama yeye.
    Wayne Rooney wakati akiwa na umri wa miaka 10
    Wayne Rooney wakati akiwa na umri wa miaka 10
    Duncan Ferguson akimkabidhi Wayne Rooney kitambaa cha unahodha wakati anatoka nje ya uwanja
    Duncan Ferguson akimkabidhi Wayne Rooney kitambaa cha unahodha wakati anatoka nje ya uwanja
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: HUYU NDIO ROONEY UNAEMJUA WEWE…ANGALIA PICHA ZAKE NYINGINE AKIWA BADO KINDA Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top