Jamii ya Asia kuweni na amani nyie ni wenzetu na tunatazamia mtashiriki kikamilifu Uchaguzi Mkuu kuelekea 2015

Mgombe ubunge Jimbo la Ilala, Muslim Hasanal akiwa na Mgombea Urais Mh Edward Lowassa katika mkutano wa majumuisho ya ziara yake jiji Mgombea Dar es Salaam aliyoifanya Mgombea Urais.
0 comments:
Post a Comment