Kansela Angela Merkel wa Ujerumani amekosoa vikali ghasia katika makazi ya waomba hifadhi zilizojeruhi maafisa polisi kadhaa.
Bi. Merkel ameielezea tabia hiyo ya ghasia iliyofanywa na baadhi ya wahamiaji katika mji wa mashariki wa Heidenau ni ya kuchukiza na ya aibu.
Ulinzi umeimarishwa katika kituo kipya cha wahamiaji waomba hifadhi karibu na Dresden baada ya siku mbili za maandamano.




0 comments:
Post a Comment