
"Wasanii
wa Tanzania, wakati tunatetea kazi zenu kurasmishwa ili mfaidi jasho
lenu, hawa mnaowaimbia Leo hawaikuinua mdomo wao kuwatetea. Kampeni
zikiisha na thamani yenu imeisha. Tulipopaza
sauti kupinga unyonyaji wa makampuni ya simu kwenye RBT hawa wanaoahidi
kuwatetea Leo hata habari walikuwa hawana. Naomba mtafakari sana hatma
ya tasnia yenu." Ameandika hayo katika akaunti yake ya Instagram muda
mfupi leo.


0 comments:
Post a Comment