https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    Kwa gharama kidogo kabisa unaweza kujipatia nyumba yako poa kabisa iliyojengwa kwa kontena.

    c91b29d0-3bb8-11e5-b049-5ff249b1a731_2
    Ukizungumzia ujenzi wa nyumba za kuishi watu wengi wanaanza na kufikiria kuhusu mafundi, cement, mchanga na vifaa vingine… lakini upo ujenzi mwingine ambao mpaka unakamilika kabisa unaweza usihitaji chochote kati ya hivyo, labda akatakiwa fundi mmoja tu, naye ni wa kuchomelea !!
    cc5d0e60-3bb8-11e5-ac1f-bdcb281ff790_11 (1)
    Joseph Dupuis ni raia wa Canada ameunda nyumba yake  ya kawaida kabisa kwa Kontena za magari, kaokoa  pesa nyingi sana kufanya makontena yake yawe nyumba ya kuishi badala ya kujenga nyumba ya kawaida ya kuishi… jamaa anasema kitu cha  bei sana hapo ilikuwa hayo makontena pekeyake ambayo yaligharimu kama Dola 12,600 (Sawa na kama Tshs. Mil. 26)
    c9621de0-3bb8-11e5-ac1f-bdcb281ff790_3
    Huu ndio muonekano wa mjongo wa huyo jamaa kwa nje.
    ca4ddd70-3bb8-11e5-b049-5ff249b1a731_9
    Ndani ya mjengo, pako simple kabisa yani !!
    ca817090-3bb8-11e5-ac1f-bdcb281ff790_8
    caec8e70-3bb8-11e5-ac1f-bdcb281ff790_12
    caf58f20-3bb8-11e5-b049-5ff249b1a731_10
    Joseph Dupuis nje ya Mjengo wake.
    cb8c50e0-3bb8-11e5-b10c-b71f5e9bce23_1
    cb47cdd0-3bb8-11e5-ac1f-bdcb281ff790_13

    Battery II
    Joseph Dupuis kapoa nje ya mjengo wake, kafunga solar yake poa kabisa.
    Battery
    Hapa ni ndani ya chumba ambapo kuna battery za solar.
    82692c90-3d10-11e5-b3a8-0b4a1d4e8152_4

    Ukiangalia kwa Dar, Tshs Milioni 26 ni pesa ambayo sio rahisi kupata nyumba ya kiwango kizuri.
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: Kwa gharama kidogo kabisa unaweza kujipatia nyumba yako poa kabisa iliyojengwa kwa kontena. Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top