https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUGOMBEA MAJIMBO CCM, YAMETOLEWA RASMI

    Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) leo kimetangaza majina ya wagombea ubunge, ubunge viti maalum, uwakilishi na uwakilishi viti maalum ambapo baadhi ya wagombea walioshinda kwenye kura za maoni wametupwa nje na kuchukuliwa mshindi wa tatuAkizungumza leo na waandishi wa habari kwenye ofisi za makao makuu ya CCM mjini Dodoma, Katibu wa Itikadi na Uenezi Nape Nnauye amesema kuwa kuna baadhi ya majimbo ambayo yamelazimika kurudia kupiga kura za maoni na mengine kuhesabu upya kura zilizopigwa baada ya kujitokeza malalamiko kwa wagombea.
    Amesema kuna baadhi ya majimbo ambayo wamelazimika kumchukua mshindi wa tatu kwenye kura za maoni na kuwaacha walioshinda nafasi ya kwanza na ya pili ili kumaliza migogoro iliyokuwepo.
    Ameyataja majimbo 11 ambayo yatarudia uchaguzi wa kura za maoni kuwa ni Ukonga, Kiteto, Chilonwa, Kilolo, Njombe Kusini, Makete, Namtumbo, Rufiji, Mbinga Vijijini, Busega na Singida Mashariki.
    Aidha Nnauye amesema kuwa uchaguzi wa viti maalum kupitia umoja wa wanawake Tanzania (UWT) yamepitishwa kama yalivyotoka mikoani ambapo ni mkoa mmoja tu wa Dar es Salaam ambao NEC imetengua ushindi wa mshindi wa kwanza, Angela Kiziga ambaye ni mbunge wa Jumuiya ya Afrika Mashariki na badala yake aliyeshika nafasi ya pili na ya tatu ndiyo waliopitishwa katika ubunge wa viti maalum.
    Waliopitishwa na Halmashauri Kuu ya CCM kwenye ubunge wa viti maalum mkoa wa Dar es Salaam ni Mariam Kisangi aliyekuwa mshindi wa pili na Janeth Masaburi aliyekuwa mshindi wa tatu.
    TAARIFA RASMI KWA VYOMBO VYA HABARI
    WANACHAMA WA CCM WALIOTEULIWA KUGOMBEA UBUNGE NA UWAKILISHI WA MAJIMBO NA VITI MAALUM KATIKA UCHAGUZI WA MWAKA 2015
    NA.
    MKOA
    WILAYA
    JIMBO
    ALIYETEULIWA
    1.
    Arusha
    Arusha Mjini
    Arusha
    Ndugu Philemon Mollel
    Karatu
    Karatu
    Dkt. Wilbard  Slaa Lorri
    Arumeru
    Arumeru Magharibi
    Ndugu Loy Thomas ole Sabaya
    Arumeru Mashariki
    Ndugu John Danielson Sakaya (JD)
    Longido
    Longido
    Dkt. Stephen Lemomo Kiruswa
    Monduli
    Monduli
    Ndugu Namelock Edward Sokoine
    Ngorongoro
    Ngorongoro
    Ndugu William Tate ole Nasha
    2.
    Dar es Salaam
    Ilala
    Ukonga
    KURA ZINARUDIWA
    Ilala
    Ndugu Zungu Mussa Azzan
    Segerea
    Ndugu Bonna Mosse Kaluwa
    Temeke
    Temeke
    Ndugu Abasi Zuberi Mtemvu
    Kigamboni
    Dkt. Faustine Engelbert Ndugulile
    Mbagala
    Ndugu Issa Ally A. Mangungu
    Kinondoni
    Kawe
    Ndugu Kippi Ivor Warioba
    Ubungo
    Dkt. Didas John Masaburi
    Kibamba
    Dkt. Fenela E. Mkangala
    Kinondoni
    Ndugu Iddi Azzan
    3
    Dodoma
    Chemba
    Chemba
    Ndugu Juma Selemani Nkamia
    Bahi
    Bahi
    Ndugu Omar Ahmed Badwel
    Mpwapwa
    Kibakwe
    Ndugu George BonifaceSimbachawene
    Mpwapwa
    Ndugu George Malima Lubeleje
    Chamwino
    Mtera
    Ndugu Livingstone Joseph Lusinde
    Chilonwa
    KURA ZINARUDIWA
    Dodoma Mjini
    Dodoma Mjini
    Ndugu Antony Peter Mavunde
    NA.
    MKOA
    WILAYA
    JIMBO
    ALIYETEULIWA
    Kongwa                                                                                                                                                                  
    Kongwa
    Ndugu Job Y. Ndugai
    Kondoa
    Kondoa Mjini
    Ndugu Sanda Edwin
    Kondoa Vijijini
    Dkt.  Ashatu Kijaji
    4.
    Geita
    Geita
    Geita Mjini
    Ndugu Costantine John Kanyansu
    Geita Vijijini
    Ndugu Joseph Lwinza Kasheku
    Busanda
    Ndugu Lolensia Masele Bukwimba
    Mbogwe
    Mbogwe
    Ndugu Augustino Manyanda Massele
    Bukombe
    Bukombe
    Ndugu Doitto Mashaka Biteko
    Chato
    Chato
    Dkt. Medard Matogolo Kalemani
    Nyangwale
    Ndugu Hussein Nassor Amar
    5..
    Iringa
    Iringa Mjini
    Iringa Mjini
    Ndugu Mwakalebela Fredrick Wilfred
    Iringa Vijijini
    Isimani
    Ndugu William Vangimembe Lukuvi
    Kalenga
    Ndugu Godfrey William Mgimwa
    Kilolo
    Kilolo
    KURA ZINARUDIWA
    Mufindi
    Mufindi Kaskazini
    Ndugu Mahmoud  Hassan Mgimwa
    Mufindi Kusini
    Ndugu Mendrad  Lutengano Kigola
    Mafinga Mjini
    Ndugu Cosato David Chumi
    6
    Kagera
    Bukoba Mjini
    Bukoba Mjini
    Balozi Khamis Sued Kagasheki                                                                                                                                                                                                          
    Bukoba Vijijini
    Bukoba Vijijini
    Ndugu Jasson Samson Rweikiza
    Biharamulo
    Biharamulo
    Ndugu Osca Rwegasira Mkassa
    Karagwe
    Karagwe
    Ndugu Innocent Luugha Bashungwa
    Kyerwa
    Kyerwa
    Ndugu Innocent Sebba Bilakwate
    Muleba
    Muleba Kaskazini
    Ndugu Charles John Mwijage
    Muleba Kusini
    Prof. Anna Kajumulo Tibaijuka
    Misenyi
    Nkenge
    Ndugu Diodorus Buberwa Kamala
    Ngara
    Ngara
    Ndugu Alex Raphael Gashaza
    NA.
    MKOA
    WILAYA
    JIMBO
    ALIYETEULIWA
    7.
    Katavi
    Mpanda
    Mpanda Mjini
    Ndugu Sebastian Simon Kapufi
    Mpanda Vijijini
    Ndugu Moshi Selemani Kakoso
    Mlele
    Katavi
    Ndugu Issack Aloyce Kamwele
    Nsimbo
    Ndugu Richard Philip Mbogo
    Kavuu
    Dkt. Pudenciana Wilfred Kikwembe
    8.
    Kigoma
    Kakonko
    Buyungu
    Eng. Christopher K. Chiza
    Kibondo
    Muhambwe
    Eng. Atashasta Nditye
    Kasulu
    Kasulu Mjini
    Ndugu Daniel Nsanzugwanko
    Kasulu Vijijini
    Ndugu Augustino Vuma Holle
    Buhigwe
    Manyovu
    Ndugu Albert Obama Ntabaliba
    Kigoma Mjini
    Kigoma Mjini
    Ndugu Amani Walid Kabourou
    Kigoma Vijijini
    Kigoma Kaskazini
    Ndugu Peter Joseph Serukamba
    Uvinza
    Kigoma Kusini
    Ndugu Hasna Sudi Mwilima
    9.
    Kilimanjaro
    Hai
    Hai
    Ndugu Danstan Lucas Mallya
    Siha
    Ndugu Aggrey Deaidile Mwanri
    Moshi Mjini
    Moshi Mjini
    Ndugu Mosha Davis Elisa
    Mwanga
    Mwanga
    Profesa Jumanne A. Maghembe
    Same
    Same Mashiriki
    Ndugu Anne Kilango Malecela
    Same Magharibi
    Ndugu David Mathayo David
    Moshi Vijijini
    Moshi Vijijini
    Dkt. Cyril August Chami
    Vunjo
    Ndugu Innocent Melleck Shirima
    Wilaya
    Rombo
    Ndugu Sanje Samora Colman
    10.
    Lindi
    Ruangwa
    Ruangwa
    Ndugu Majaliwa Kassim Majaliwa
    Liwale
    Liwale
    Ndugu Faith Mohamed Mitambo
    Nachingwea
    Nachingwea
    Ndugu Hassan Elias Masala
    NA.
    MKOA
    WILAYA
    JIMBO
    ALIYETEULIWA
    Lindi Vijijini
    Mtama
    Ndugu Nape Moses Nnauye
    Mchinga
    Ndugu Said Mohamed Mtanda
    Lindi Mjini
    Lindi Mjini
    Ndugu Hassan Seleman Kaunje
    Kilwa
    Kilwa Kusini
    Ndugu Hasnain Gulamabas Dewji
    Kilwa Kaskazini
    Ndugu Murtaza Ally Mangungu
    11.
    Mara
    Bunda
    Bunda Mjini
    Ndugu Steven Masatu Wasira
    Mwibara
    Ndugu Kangi Alphaxard Lugola
    Bunda Vijijini
    Ndugu Boniface Mwita Getere
    Tarime
    Tarime
    Ndugu Christopher Ryoba Kangoye
    Tarime  Mjini
    Ndugu Michael Mwita Kembaki
    Serengeti
    Serengeti
    Dkt. Steven Kebwe Kebwe
    Butiama
    Butiama
    Ndugu Nimrod Elirehemah Mkono
    Butiama Vijijini
    Prof. Sospeter Mwinjarubi Muhongo
    Rorya
    Rorya
    Ndugu Lameck Okambo Airo
    Musoma Mjini
    Musoma Mjini
    Ndugu Vedastus Mathayo Manyinyi
    12.
    Manyara
    Babati Mjini
    Babati Mjini
    Ndugu Kisyeri Chambiri
    Babati Vijijini
    Babati Vijijini
    Ndugu Jittu Vrajilal Son
    Hanang’
    Hanang’
    Dkt. Mary Michael Nagu
    Kiteto
    Kiteto
    Litaamuliwa na Kikao Kijacho cha Kamati Kuu
    Mbulu
    Mbulu Mjini
    Ndugu Zacharia  Paulo Issaay
    Mbulu Vijijini
    Ndugu Fratei Gregory Massay
    Simanjiro
    Simanjiro
    Ndugu Christopher Olonyhokie OleSendeka
    13.
    Mbeya
    Mbeya Mjini
    Mbeya Mjini
    Ndugu Sambwee Shitambala Mwalyego
    Mbeya Vijijini
    Mbeya Vijijini
    Ndugu Oran M. Njeza
    Mbarali
    Mbarali
    Ndugu Haroon Mullah Pirmohamed
    NA.
    MKOA
    WILAYA
    JIMBO
    ALIYETEULIWA
    Rungwe
    Rungwe
    Ndugu Sauli Henry Amon
    Busokelo
    Ndugu Atupele Fredy Mwakibete
    Ileje
    Ileje
    Ndugu Janeth Zebedayo Mbene
    Mbozi
    Mbozi
    Ndugu Weston Godfrey Zambi
    Vwawa
    Ndugu Ngailonga Josephat Kasunga
    Momba
    Momba
    Ndugu Luca Jelas Siyame
    Tunduma
    Ndugu Frank Mastara Sichalwe
    Chunya
    Lupa
    Ndgu Victor Mwambalaswa
    Songwe
    Ndugu Philip A. Mulugo
    Kyela
    Kyela
    Dkt. Harrison George Mwakyembe
    14.
    Morogoro
    Morogoro Mjini
    Morogoro Mjini
    Ndugu Abood Mohamed Abdul Aziz
    Morogoro Vijijini
    Morogoro Kusini
    Ndugu Prosper Joseph Mbena
    Morogoro Kusini Mashariki
    Ndugu Omar Tibweta Mgumba
    Gairo
    Gairo
    Ndugu Ahmed Shabiby
    Mvomero
    Mvomero
    Ndugu Suleiman Ahmed Saddiq
    Mikumi
    Ndugu Jones Estomih Nkya
    Kilombero
    Kilombero
    Ndugu Abubakar Damian Asenga
    Mlimba
    Ndugu Godwin Emmanuel Kunambi
    Ulanga
    Ulanga Mashariki
    Ndugu Celina Ompeshi Kombani
    Ulanga Magharibi
    Dkt. Hadji Mponda
    Kilosa
    Kilosa
    Ndugu Mbaraka Salum Bawazir
    15.
    Mtwara
    Mtwara Mjini
    Mtwara Mjini
    Ndugu Hasnen Mohamed Murji
    Nanyamba
    Ndugu Abdallah Dadi Chikota
    Mtwara Vijijini
    Mtwara Vijijini
    Ndugu Hawa Abdulhaman Ghasia
    Tandahimba
    Tandahimba
    Ndugu Shaibu Salum Likumbo
    NA.
    MKOA
    WILAYA
    JIMBO
    ALIYETEULIWA
    Newala
    Newala Mjini
    Ndugu George Huruma Mkuchika
    Newala Vijijini
    Ndugu Rashid Ajali Akbar
    Nanyumbu
    Nanyumbu
    Ndugu William Dua Mkurua
    Masasi
    Ndanda
    Ndugu Mariam Reuben Kasembe
    Masasi
    Ndugu Chuachua Mohamed Rashid
    Lulindi
    Ndugu Jerome Dismas Bwanausi
    16.
    Mwanza
    Ilemela
    Ilemela
    Ndugu Angelina Sylvester LubalaMabula
    Nyamagana
    Nyamagana
    Ndugu Stanslaus S. Mabula
    Kwimba
    Kwimba
    Ndugu Mansoor Shanif Hiran
    Sumve
    Ndugu Richard Maganga Ndassa
    Misungwi
    Misungwi
    Ndugu Charles Mhangwa Kitwanga
    Magu
    Magu
    Ndugu Boniventura Desdery Kiswaga
    Sengerema
    Sengerema
    Ndugu William Mganga Ngeleja
    Buchosa
    Dkt. Charles John Tzeba
    Ukerewe
    Ukerewe
    Ndugu Christopher Nyandiga
    17.
    Njombe
    Njombe Kusini
    Njombe Kaskazini
    Ndugu Joram Hongoli
    Njombe Kusini
    Litaamuliwa na Kikao Kijacho cha Kamati Kuu
    Wanging’ombe
    Makambako
    Ndugu Deo Kasenytenbda Sanga
    Wanging’ombe
    Nduguy Gerson Hosea Lwenge
    Ludewa
    Ludewa
    Ndugu Deo Filikunjombe
    Makete
    Makete
    KURA ZINARUDIWA
    18.
    Pwani
    Bagamoyo
    Bagamoyo
    Dkt. Shukuru Kawambwa
    Chalinze
    Ndugu Ridhiwani J. Kikwete
    Kibaha
    Kibaha Mjini
    Ndugu Sylvester Francis Koka
    Kibaha Vijijini
    Ndugu Hamoud Abuu Jumaa
    NA.
    MKOA
    WILAYA
    JIMBO
    ALIYETEULIWA
    Kisarawe
    Kisarawe
    Ndugu Selemani Said Jaffo
    Mafia
    Mafia
    Ndugu Mbaraka K. Dau
    Mkuranga
    Mkuranga
    Ndugu Abdallah H. Ulega
    Rufiji
    Rufiji
    KURA ZINARUDIWA
    Kibiti
    Kibiti
    Ndugu Ally Seif Ungando
    19.
    Rukwa
    Sumbawanga Mjini
    Sumbawanga Mjini
    Ndugu Aeshi Khalfan Hilaly
    Nkansi
    Nkansi Kaskazini
    Ndugu Ally Mohamed Kessy
    Nkansi Kusini
    Ndugu Deuderit John Mipata
    Sumbawanga Vijijini
    Kwela
    Ndugu Ignas Aloyce Malocha
    Kalambo
    Kalambo
    Ndugu Josephat Sinkamba Kandege
    20.
    Ruvuma
    Songea Mjini
    Songea Mjini
    Ndugu Leonidas Tutubert Gama
    Nyasa
    Nyasa
    Ndugu Eng. Stella Martin Manyanya
    Tunduru
    Tunduru Kaskazini
    Ndugu Ramo Matala Makani
    Tunduru Kusini
    Ndugu Daimu Iddi Mpakate
    Songea Vijijini
    Peramiho
    Ndugu Jenister Joakim Mhagama
    Madaba
    Ndugu Joseph Kisito Mhagama
    Namtumbo
    Namtumbo
    KURA ZINARUDIWA
    Mbinga
    Mbinga Mjini
    Ndugu Sixtus Raphael Mapunda
    Mbinga Vijijini
    KURA ZINARUDIWA KATA MBILI
    21.
    Simiyu
    Bariadi
    Bariadi Magharibi
    Ndugu Andrew John Chenge
    Itilima
    Bariadi Mashariki (Itilima)
    Ndugu Njalu Daudi Silanga
    Meatu
    Meatu
    Ndugu Salum Khamis Salumu
    Kisesa
    Ndugu Luhanga Joelson Mpina
    NA.
    MKOA
    WILAYA
    JIMBO
    ALIYETEULIWA
    Busega
    Busega
    KURA ZINARUDIWA
    Maswa
    Maswa Mashariki
    Ndugu Stanslaus Haroun Nyongo
    Maswa Magharibi
    Ndugu Mashimba Mashauri Ndaki
    22.
    Singida
    Singida
    Singida Mjini
    Ndugu Ramadhani Sima
    Singida Kaskazini
    Ndugu Lazaro Nyalandu
    Mkalama
    Iramba Mashariki
    Ndugu Joseph Allan Kiula
    Iramba
    Iramba Magharibi
    Ndugu Mwigulu Lamech Nchemba
    Manyoni
    Manyoni Magharibi
    Ndugu Yahya Omari Masare
    Manyoni Mashariki
    Ndugu Daniel Edward Mtuka
    Ikungi
    Singida Mashariki
    Litaamuliwa na Kikao Kijacho cha Kamati Kuu
    Singida Magharibi
    Ndugu Elibariki Emmanuel Kingu
    23.
    Shinyanga
    Shinyanga Mjini
    Shinyanga Mjini
    Ndugu Steven Masele
    Shinyanga Vijijini
    Solwa
    Ndugu Ahmed Ally Salum
    Kishapu
    Kishapu
    Ndugu Suleiman Masoud Nchambi                                                                                                                                                                                                                                                                                                                                                                                                                                                                                                   
    Kahama
    Msalala
    Ndugu Ezekiel Magolyo Maige
    Ushetu
     Ndugu  Elias John Kwandikwa                                                                                                                                                                                                                                                                                                                                                                                                                  
    Kahama Mjini
    Ndugu Kishimba Jumanne Kibera
    24.
    Tabora
    Tabora Mjini
    Tabora Mjini
    Ndugu Emmanuel Mwakasaka
    Uyui
    Igalula
    Ndugu Ntimizi  Rashidi Mussa
    Kaskazini Uyui
    Ndugu Maige Athumani Almas
    Sikonge
    Sikonge
    Ndugu George Joseph Kakunda
    Urambo
    Urambo
    Ndugu Margareth Samwel Sita
    Kaliua
    Kaliua
    Profesa Juma Athuman Kapuya
    NA.
    MKOA
    WILAYA
    JIMBO
    ALIYETEULIWA
    Ulyankulu
    Ndugu John Peter Kadutu
    Nzega
    Nzega Mjini
    Ndugu Hussein Mohamed Bashe
    Bukene
    Ndugu Suleiman Juma Zedi
    Nzega Vijijini
    Dkt. Hamis Andrea Kigwangala
    Igunga
    Igunga
    Dkt Dalaly Peter Kafumu
    Manonga
    Ndugu Seif Hamis Said
    25.
    Tanga
    Tanga Mjini
    Tanga Mjini
    Ndugu Omari Rashid Nundu
    Lushoto
    Lushoto
    Ndugu Shabani Omari Shekilindi
    Bumbuli
    Ndugu Januari Yusuf Makamba
    Mlalo
    Ndugu Rashid Abdakkag Shangazi
    Pangani
    Pangani
    Ndugu Jumaa Hamidu Aweso
    Kilindi
    Kilindi
    Ndugu Omari Mohamed Kigua
    Mkinga
    Mkinga
    Ndugu Danstan Luka Kitandula
    Handeni
    Handeni Mjini
    Dkt. Abdallah Omar Kigoda
    Handeni Vijijini
    Ndugu Mboni Mohamed Mhita
    Muheza
    Muheza
    Balozi  Adadi Mohamed Rajabu
    Korogwe
    Korogwe Mjini
    Ndugu Mary Pius Chatanda
    Korogwe Vijijini
    Ndugu Stephen Hillary Ngonyani
    ORODHA YA MAJIMBO YA UCHAGUZI 2015 UBUNGE - ZANZIBAR
    NA.
    MKOA
    WILAYA
    JIMBO
    ALIYETEULIWA
    1.
    Kaskazini Pemba
    Wete
    Gando
    Ndugu Salim Bakar Issa
    Kojani
    Ndugu Masoud Ali Moh’d
    Mgogoni
    Ndugu Issa Juma Hamad
    Mtambwe
    Ndugu Khamis Seif Ali
    Wete
    Dkt. Abdalla Saleh Abdalla
    Micheweni
    Micheweni
    Ndugu Khamis Juma Omar
    Tumbe
    Ndugu Rashid Kassim Abdalla
    Konde
    Ndugu Ramadhan Omar Ahmed
    Wingwi
    Ndugu Khamis Shaame Hamad
    2.
    Kaskazini Unguja
    Kaskazini “A”
    Chaani
    Ndugu Khamis Yahya Machano
    Kijini
    Ndugu Makame Mashaka Foum
    Mkwajuni
    Ndugu Khamis Ali Vuai
    Nungwi
    Ndugu Mustafa Makame Hamadi
    Tumbatu
    Ndugu Juma Othman Hija
    Kaskazini “B”
    Bumbwini
    Ndugu Mbarouk Juma Khatib
    Donge
    Ndugu Sadifa Juma Khamis
    Kiwengwa
    Ndugu Khamis Mtumwa Ali
    Mahonda
    Ndugu Bahati Ali Abeid
    3.
    Kusini Pemba
    Chake Chake
    Chake Chake
    Ndugu Mbaraka Said Rashid
    Chonga
    Ndugu Abdalla Omar Muya
    Ole
    Ndugu Omar Mjaka Ali
    Wawi
    Ndugu Daud Khamis Juma
    Ziwani
    Ndugu Mohamed Othman Omar
    NA.
    MKOA
    JIMBO
    ALIYETEULIWA
    Mkoani
    Chambani
    Ndugu Moh’d Abdulrahman Mwinyi
    Kiwani
    Ndugu Rashid Abdulla Rashid
    Mkoani
    Prof. Makame Mnyaa Mbarawa
    Mtambile
    Ndugu Khamis Salum Ali
    4.
    Kusini Unguja
    Kati
    Chwaka
    Ndugu Bhagwanji Meisuria (Mshamba)
    Tunguu
    Ndugu Khalifa Salum Suleiman
    Uzini
    Ndugu Salum Mwinyi Rehani
    Kusini
    Makunduchi
    Ndugu Haji Ameir Haji (Timbe)
    Paje
    Ndugu Jaffar Sanya Jussa
    5.
    Magharibi
    Dimani
    Dimani
    Ndugu Hafidh Ali Tahir
    Chukwani
    Fuoni
    Ndugu Abass Ali Hassan
    Kiembesamaki
    Ndugu Ibrahim Hassanali Mohamed
    Kijitoupele
    Ndugu Shamsi Vuai Nahodha
    Mwanakwerekwe
    Ndugu Ahmada Yahya Abdulwakil(Shaa)
    Mfenesini
    Bububu
    Ndugu Mwantakaje Haji Juma
    Mfenesini
    Col. Mst. Masoud Ali Khamis
    Welezo
    Ndugu Saada Mkuya Salum
    Mwera
    Ndugu Makame Kassim Makame
    6.
    Mjini
    Amani
    Amani
    Ndugu Mussa Hassan Mussa
    Chumbuni
    Ndugu Ussi Salum Pondeza
    Magomeni
    Ndugu Jamal Kassim Ali
    Mpendae
    Ndugu Salim Hassan Turkey
    Shaurimoyo
    Ndugu Matar Ali Salum
    NA.
    MKOA
    WILAYA
    JIMBO
    ALIYETEULIWA
    Mjini
    Jang’ombe
    Ndugu Ali Hassan Omar (King)
    Kikwajuni
    Ndugu Hamad Yussuf Masauni
    Kwahani
    Dr. Hussein Ali Mwinyi
    Malindi
    Dkt. Abdulla Juma Abdalla
    ORODHA YA MAJIMBO YA UCHAGUZI 2015 BARAZA LA WAWAKILISHI - ZANZIBAR
    NA.
    MKOA
    WILAYA
    JIMBO
    ALIYETEULIWA
    1.
    Kaskazini Pemba
    Wete
    Mgogoni
    Ndugu Shehe Hamad Matar
    Gando
    Ndugu Maryam Thani Juma
    Kojani
    Ndugu Makame  Said Juma
    Mtambwe
    Ndugu Khadija Omar Kibano
    Wete
    Ndugu Harusi Said Suleiman
    Micheweni
    Micheweni
    Ndugu Shamata Shaame Khamis
    Tumbe
    Ndugu Ali Khamis Bakar
    Konde
    Ndugu Omar Seif Abeid
    Wingwi
    Ndugu Said Omar Said
    2.
    Kaskazini Unguja
    Kaskazini “A”
    Chaani
    Ndugu Nadil Abdul-Latif Jussa
    Kijini
    Ndugu Juma Makungu Juma
    Mkwajuni
    Ndugu Ussi Yahaya Haji
    Nungwi
    Ndugu Ame Haji Ali
    Tumbatu
    Ndugu Haji Omar Kheri
    Kaskazini “B”
    Bumbwini
    Ndugu Mtumwa Peya Yussuf
    Donge
    Dkt. Khalid Salum Mohamed
    Kiwengwa
    Ndugu Asha Abdalla Mussaa
    Mahonda
    Balozi Seif Alli Iddi
    NA.
    MKOA
    WILAYA
    JIMBO
    ALIYETEULIWA
    3.
    Kusini Pemba
    Chake Chake
    Chake Chake
    Ndugu Suleiman Sarhan Said
    Chonga
    Ndugu Shaibu Said Ali
    Ole
    Ndugu Mussa Ali Mussa
    Wawi
    Ndugu Hamad Abdalla Rashid
    Ziwani
    Ndugu Suleiman Makame Ali
    4.
    Mkoani
    Chambani
    Ndugu Bahati Khamis Kombo
    Kiwani
    Ndugu Mussa Foum Mussa
    Mkoani
    Ndugu Mmanga Mjwengo Mjawiri
    Mtambile
    Ndugu Moh’d Mgaza Jecha
    5.
    Kusini Unguja
    Kati
    Chwaka
    Ndugu Issa Haji Ussi
    Tunguu
    Ndugu Simai Mohamed Said
    Uzini
    Ndugu Mohamedraza H. Dharamsi
    Kusini
    Makunduchi
    Ndugu Haroun Ali Suleiman
    Paje
    Ndugu Jaku Hashim Ayoub
    6.
    Magharibi
    Dimani
    Chukwani
    Ndugu Mwanaasha Khamis Juma
    Dimani
    Dkt. Mwinyihaji Makame Mwadini
    Fuoni
    Ndugu Yussuf Hassan Iddi
    Kiembe Samaki
    Ndugu Mahmoud Thabit Kombo
    Kijitoupele
    Ndugu Ali Suleiman Ali (Shihata)
    Mwanakwerekwe
    Ndugu Abdalla Ali Kombo
    Pangawe
    Ndugu Khamis Juma Mwalim
    Mfenesini
    Bububu
    Ndugu Masoud Abraham Masoud
    Mfenesini
     Ndugu Machano Othman Said
    Mtoni
    Ndugu Hussein Ibrahim Makungu
    Mtopepo
    Dkt. Makame Alli Ussi
    Welezo
    Ndugu Hassan Khamis Hafidh
    Mwera
    Ndugu Mihayo Juma N’hunga
    NA.
    MKOA
    WILAYA
    JIMBO
    ALIYETEULIWA
    6.
    Mjini
    Amani
    Amani
    Ndugu Rashid Ali Juma
    Chumbuni
    Ndugu Miraji Khamis Mussa
    Magomeni
    Ndugu Rashid Makame Shamsi
    Mpendae
    Ndugu Mohamed Said Mohamed(Dimwa)
    Shaurimoyo
    Ndugu Hamza Hassan Juma
    Mjini
    Jang’ombe
    Ndugu Abdalla Maulid Diwani
    Kikwajuni
    Ndugu Nassor Salum Ali (Jazeera)
    Kwahani
    Ndugu Ali Salum Haji
    Malindi
    Ndugu Mohamed Ahmada Salum
    WABUNGE WA MIKOA WALIOTEULIWA KUPITIA JUMUIYA – UWT
    NA.
    MKOA
    JINA
    1
    Arusha
    Ndugu Catherine Valentine Magige
    Ndugu Vailet Charles Mfuko
    2
    Dar es Salaam
    Ndugu Mariam Nassoro Kisangi
    Ndugu Janeth Mourice Massaburi
    3
    Dodoma
    Ndugu Felister Aloyce Bura
    Ndugu Fatuma Hassan Toufiq
    4
    Geita
    Ndugu Vicky Paschal Kamata
    Ndugu Josephina Tabitha Chagula
    5
    Iringa
    Ndugu Rose Cyprian Tweve
    Ndugu Ritha Enespher Kabati
    6
    Katavi
    Ndugu Taska Restuta Mbogo
    Ndugu Anna Richard Lupembe
    7
    Kagera
    Ndugu Bernadetha Kasabango Mushashu
    Ndugu Oliva Daniel Semuguruka
    8
    Kigoma
    Ndugu Josephine Johnson Genzabuke
    Ndugu Philipa Geofrey Mturano
    9
    Kilimanjaro
    Ndugu Shally Josepha Raymond
    Ndugu Betty Eliezer Machangu
    10
    Lindi
    Ndugu Hamiuda Miohamed Abdallah
    Ndugu Tecla Mohamed Ungele
    11
    Mara
    Ndugu Agnes Mathew Wambura
    Ndugu Christina Mwema Samo
    12
    Manyara
    Ndugu Martha Jachi Umbulla
    Ndugu Esther Alexander Mahawe
    13
    Mbeya
    Dr. Mary Machuche
    Ndugu Mary Obadia Mbwilo
    14
    Morogoro
    Ndugu Christine Gabriel Ishengoma
    Ndugu Sarah Msafiri Ally
    15
    Mtwara
    Ndugu Anastazia James Wambura
    Ndugu Agness Elias Hokororo
    16
    Mwanza
    Ndugu Kemirembe Julius Lwota
    Ndugu Kiteto Zawadi Konshuma
    NA.
    MKOA
    WILAYA
    17
    Njombe
    Ndugu Susan Alphonce Kolimba
    Ndugu Neema William Mgaya
    18
    Pwani
    Ndugu Zaynab Matitu Vullu
    Ndugu Subira Khamis Mgalu
    19
    Rukwa
    Ndugu Bupe Nelson Mwakang’ata
    Ndugu Silafu Jumbe Maufi
    20
    Ruvuma
    Ndugu Jacqueline Ngonyani Msongozi
    Ndugu Sikudhan Yassini Chikambo
    21
    Simiyu
    Ndugu Esther Lukago Midimu
    Ndugu Leah Jeremia Komanya
    Songwe
    Ndugu Juliana Daniel Shonza
    Ndugu Neema Gerald Mwandabila
    22
    Singida
    Ndugu Aisharose Ndogholi Matembe
    Ndugu Martha Moses Mlata
    23
    Shinyanga
    Ndugu Lucy Thoma Mayenga
    Ndugu Azza Hillal Hamad
    24
    Tabora
    Ndugu Munde Tambwe Abdallah
    Ndugu Mwanne Ismail Mchemba
    25
    Tanga
    Ndugu Ummy Ally Mwalimu
    Ndugu Sharifa O. Abebe
    WABUNGE WA MIKOA WALIOTEULIWA KUPITIA JUMUIYA YA UWT - ZANZIBAR
    NA.
    MKOA
    JINA
    1
    Kaskazini Pemba
    Ndugu Maida Hamad Abdalla
    Ndugu Asya Sharif Omar
    2
    Kaskazini Unguja
    Ndugu Angelina Adam Malembeka
    Ndugu Mwanajuma Kassim Makame
    3
    Kusini Pemba
    Ndugu Faida Moh’d Bakar
    Ndugu Asha Moh’d Omar
    4
    Kusini Unguja
    Ndugu Asha Mshimba Jecha
    Ndugu Mwamtum Dau Haji
    5
    Magharibi
    Ndugu Tauhida Cassian Galos
    Ndugu Kaukab Ali Hassan
    6
    Mjini Unguja
    Ndugu Fakharia Shomar Khamis
    Ndugu Asha Abdallah Juma
    WAJUMBE WA BARAZA LA WAWAKILISHI – VITI MAALUM – ZANZIBAR
    NA.
    MKOA
    JINA
    1
    Kaskazini Pemba
    Ndugu Bihindi Hamad Khamis
    Ndugu Choum Kombo Khamis
    2
    Kaskazini Unguja
    Ndugu Panya Ali Abdalla
    Ndugu Mtumwa Suleiman Makame
    3
    Kusini Pemba
    Ndugu Shadya Moh’d Suleiman
    Ndugu Tatu Moh’d Ussi
    4
    Kusini Unguja
    Ndugu Salma Mussa Bilali
    Ndugu Wanu Hafidh Ameir
    5
    Magharibi
    Ndugu Mwanaidi Kassim Mussa
    Ndugu Amina Iddi Mabrouk
    6
    Mjini
    Ndugu Mgeni Hassan Juma
    Ndugu Saada Ramadhan Mwendwa
    WABUNGE WA WALIOTEULIWA KUPITIA MAKUNDI MENGINE
    NA.
    Kundi
    WALIOTEULIWA
    1.
    Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM)
    Ndugu Halima Abdallah Bulembo
    Ndugu Zainabu Athuman Katimba
    Ndugu Mariamu Dittopile Mzuzuri
    Ndugu Maria Ndilla Kangoye
    Ndugu Sophia Mfaume Kizigo
    Ndugu Irine Uwoya
    UVCCM - ZANZIBAR
    Ndugu Khadija Nassir Ali
    Ndugu Munira Mustafa Khatibu
    Ndugu Nadra Juma Mohamed
    Ndugu Time Bakar Sharif
    2.
    Jumuiya ya WAZAZI
    Ndugu Najma Murtaza Giga   -    Tanzania Zanzibar)
    Ndugu Zainabu Nuhu Mwamwindi  - (Tanzania Bara)
    3.
    Walemavu
    Ndugu Stella Alex Ikupa
    Ndugu Amina Saleh Mollel
    4.
    Vyuo Vikuu
    Ndugu Jasmin Tisekwa Bunga
    Ndugu Esther Michael Mmasi
    5.
    NGO’s
    Mchungaji Getrude P. Rwakatare
    Ndugu Khadija Hassan Aboud
    6.
    Wafanyakazi
    Ndugu Angelina Jasmin Kairuki
    Ndugu Hawa Mchafu Chakoma
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUGOMBEA MAJIMBO CCM, YAMETOLEWA RASMI Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top