https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    MAPOKEZI YA LOWASlSA JIJINI MWANZA VIWANJA VYA FURAHISHA


     Waziri Mkuu Mstaafu Lowassa,  Akizungumza na wananchi pamoja na wafuasi wa chama hicho Jijini Mwanza katika Viwanja vya Furahisha Kirumba. (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA) Mmiliki wa UJIJIRAHAA BLOG.

     Wananchi wakiwemo wafuasi wa Chama hicho wakionyesha juu Mikono wakiwa wanaonyesha vidole juu
     Mwenyekiti wa Chama hicho Mbowe (kulia) akiwa juu ya Gari akiwasalim wanachama wa Chama hicho alipokuwa akiwasili viwanja vya Furahisha Jijini Mwanza na kushoto ni aliyewa  Mbunge wa Jimbo la Kahama, mkoani Shinyanga, James Lembeli kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) aliye timkia Chadema.
    Lowassa akiwapungia mkono wananchi na wafuasi wa Chama hicho alipokuwa akiingia katika viwanja vya Furahisha, Kirumba Jijini Mwanza
     Lowassa akisalimiana na Mwenyekiti wake
     Viongozi wa Chama hicho wakiwa wamesimama wakati walipokuwa wakiimba wimbo wa Taifa
     Lowassa wakiteta jambo na Mwenyekiti wa Chama hicho
     Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi, James Mbatia  akiteta jambo na Lowassa katika viwanja vya Furahisha
     Askari wa Jeshi la Polisi walipata wakati mgumu  wakihakikisha usalama unakuwepo katika maeneo hayo
     Walinzi wa Lowassa wakihakikisha usalama unakuwepo katika Gari la Kiongozi huyo na wengine wakitaka wampe mikono na wakatumia kamba.
     Mapacha waungana
     Mikono wa wafuasi hao wakipunga mikono
     Wengi wajitokeza mapokezi ya Lowassa
     Kabla hajafika Kiongozi huyo katika viwanja vya Furahisha
    Sehemu ya uwafuasi na wanachama
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: MAPOKEZI YA LOWASlSA JIJINI MWANZA VIWANJA VYA FURAHISHA Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top