https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    MUINGEREZA MO FARAH AWASHINDA WAKENYA NA KUTWAA MEDALI YA DHAHABU

    Mwanariadha Mo Farah amefanikiwa kutwaa taji lake la dunia na kwa kutetea taji lake la mbio za mita 10,000, licha ya kupoteza balansi katika raundi ya mwisho na kutwaa medali ya kwanza ya dhahabu kwa Uingereza katika mbio za Mabingwa Duniani.

    Miaka saba iliyopita katika uwanja huo huo wa Jijin Beijing nchini China, Farah aliaondolewa katika michuano ya Olimpiki baada kushindwa kufuzu mbio za mita 5,000.

    Hata hivyo katika mbio za mwaka huu, Farah alionyesha kujituma ili kuhakikisha anawashinda wapinzani wake kutoka Kenya Geoffrey Kamworor na Paul Tanui.
                                                Mo Farah akichuana na wakenya Kamoror na Tanui
                                                 Mo Farah akisujudu kumshukuru Mungu kwa ushini
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: MUINGEREZA MO FARAH AWASHINDA WAKENYA NA KUTWAA MEDALI YA DHAHABU Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top