Mgombea
Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA
kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa
pamoja na Mgombea mwenza, Mh. Juma Duni Haji wakiwasili kwenye viwanja
vya Jangwani Jijini Dar es salaam, kulikofanyika Mkutano wa Uzinduzi wa
Kampeni za Chama hicho, Agosti 29, 2015. PICHA ZOTE NA OTHMAN MICHUZI.
Umati
wa wakazi wa Jijini Dar es salaam, ukiwa umefurika kwa wingi kwenye
viwanja vya Jangwani kuwalaki Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa
Tanzania katika mwamvuli wa
UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward
Lowassa pamoja na Mgombea mwenza, Mh. Juma Duni Haji, walipokuwa
wakiwasili viwanjani hapo, kulikofanyika Mkutano wa Uzinduzi wa Kampeni
za Chama hicho, Agosti 29, 2015.
Wafuasi
wa Vyama vinavyounda UKAWA wakiwashangilia Mgombea Urais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania katika mwamvuli wa
UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward
Lowassa pamoja na Mgombea mwenza, Mh. Juma Duni Haji, walipokuwa
wakiwasili viwanjani hapo, kulikofanyika Mkutano wa Uzinduzi wa Kampeni
za Chama hicho, Agosti 29, 2015.
Wafuasi
wa Vyama vinavyounda UKAWA wakionyesha furaha yao kwa Mgombea Urais wa
Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa
UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward
Lowassa.
Mgombea
Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa
UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward
Lowassa akisalimiana na Mgombea Urais wa Zanzibar katika mwamvuli wa
UKAWA kupitia Chama cha Wananchi CUF, Maalim Seif Sharif Hamad wakati
alipowasili kwenye viwanja vya Jangwani Jijini Dar es salaam,
kulikofanyika Mkutano wa Uzinduzi wa Kampeni za Chama hicho, Agosti 29,
2015.
Sehemu
ya Wanahabari kutoka Vyombo mbali mbali nchini wakiendelea kuchukua
habari za Mkutano huo, uliofanyika jioni ya leo kwenye viwanja vya
Jangwani Jijini Dar es salaam na kuhudhulia na maelfu ya Wakazi wa jiji
hilo.
Mwenyekiti
wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Freeman Mbowe
akimkabidhi, Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika
mwamvuli wa
UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward
Lowassa pamoja na Mgombea mwenza, Mh. Juma Duni Haji, Kitabu cha Ilani
ya Uchaguzi ya Chama hicho kwa mwaka 2015/2020 mara baada ya kuizindua,
Agosti 29, 2015.
Mgombea
Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa
UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward
Lowassa, Mgombea mwenza, Mh. Juma Duni Haji pamoja na Mgombea Urais wa
Zanzibar katika mwamvuli wa
UKAWA kupitia Chama cha Wananchi CUF, Maalim Seif Sharif Hamad
wakionyesha vitabu cha Ilani ya Uchaguzi mara baada ya kuzinduliwa na
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Freeman
Mbowe.
Viongozi
wa Vyama mbali mbali vinavyounda UKAWA wakionyesha Ilani hiyo mbele ya
maelfu ya wakazi wa Jiji la Dar es salaam, leo Agosti 29, 2015.
Mwenyekiti
wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Freeman Mbowe
(kulia) akiwatambulisha baadhi ya Wagombea Ubunge katika Majimbo mbali
mbali ya jijini Dar es salaam.
Mwenyekiti Mwenza wa UKAWA, Mh. James Mbatia akizungumza kwenye Mkutano huo.
Watu
wa Msalaba Mwekundu wakiwa wamembeba mmoja wa wakazi wa Jiji la Dar
aliepoteza fahamu kwa kukosa hewa kutokana na uwingi wa watu uliofurika
kwenye viwanja vya Jangwani, Jijini Dar es salaam Agosti 29, 2015.
Waziri
Mkuu Mstaafu, Mh. Fredrick Sumaye akitoa salamu zake kwa wakazi wa Jiji
la Dar es salaam waliofurika kwenye viwanja vya Jangwani jijini Dar es
salaam Agosti 29, 2015.
Mgombea
Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa
UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward
Lowassa akiteta jambo na Mgombea Mwenza wake, Mh. Juma Duni Haji, wakati
wa Mkutano wa Uzinduzi wa Kampeni za Chama hicho, uliofanyika Agosti
29, 2015.
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa
UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward
Lowassa akihutubia katika Mkutano huo wa Uzinduzi wa Kampeni za Chama hicho, uliofanyika Agosti 29, 2015.
Mmoja wa wanasiasa wakongwe waliotoka CCM, Tambwe Hiza akisalimia.
0 comments:
Post a Comment