https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    RAHEEM STERLING AONYESHA UPENDO KWA MASHABIKI KWA KUGAWA JEZI YAKE


    Licha ya Raheem Sterling kukosa nafasi nzuri ya kuifungia goli kwa mara ya kwanza timu yake mpya ya Manchester City dhidi ya West Brom lakini kwa mujibu wa mashabiki wawili vijana wa timu hiyo kwao ni mchezaji bora wa mchezo huo.

    Kufuatia ushindi mnono wa mabao 3-0 wa Manchester City dhidi ya West Brom, mchezaji huyo aliyesajiliwa kwa kitita cha paundi 49 akitokea Liverpool aliruka mabango ya matangazo na kuwapa jezi yake mashabiki vijana wawili.
                       Raheem Sterling alielekea kuwapa jezi mashabiki wa Manchester City 
                            Ni furaha ilioje kupewa jezi na shujaa mpya wa Manchester City
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: RAHEEM STERLING AONYESHA UPENDO KWA MASHABIKI KWA KUGAWA JEZI YAKE Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top