Rais
Jakaya Mrisho kikwete akiwa na Balozi mpya wa Tanzania nchini Uholanzi
Mhe. Irene Florence Mwawa Kasyanju na Balozi mpya wa Tanzania nchini
Zimbabwe Luteni Jenerali Charles Lawrence Makakala walipofika kumuaga
Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 27,2015
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na baadaye kuongea na Balozi wa Uturuki nchini
anayemaliza muda wake Mhe Ali Davutoglu aliyefika kumuaga Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 27, 2015
Rais
Jakaya Mrisho kikwete akioneshwa na Mkurugenzi Mkuu wa Microfinance
Bank Plc (NMB) Bi Ineke Bussemaker kadi ya MASTERCARD ambayo ni huduma
mpya ya kisasa iliyoingizwa nchini na benki ya NMB wakati kiongozi
huyo wa benki hiyo alipomtembelea Ikulu jijini Dar es salaam
leo Agosti 27, 2015
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na Mkurugenzi Mkuu wa
Microfinance Bank Plc (NMB) Bi Ineke Bussemaker kadi ya MASTERCARD
ambayo ni huduma mpya ya kisasa iliyoingizwa nchini na benki ya NMB
wakati kiongozi huyo wa benki hiyo alipomtembelea Ikulu jijini Dar es
salaam leo Agosti 27, 2015
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na Mkurugenzi Mkuu wa
Microfinance Bank Plc (NMB) Bi Ineke Bussemaker kadi ya MASTERCARD
ambayo ni huduma mpya ya kisasa iliyoingizwa nchini na benki ya NMB
wakati kiongozi huyo wa benki hiyo alipomtembelea Ikulu jijini Dar es
salaam leo Agosti 27, 2015
Picha na Ikulu








0 comments:
Post a Comment