https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    TAARIFA ZA KUSONONESHA KWA MASHABIKI WA ARSENAL


    Hizi ni taarifa mbaya kwa mashabiki wa Arsenal wakati huu timu yao inaelekea kuanza msimu mpya wa ligi kuu England ikiwa na matumaini ya kuipindua Chelsea.
    Arsenal chini ya Arsene Wenger wanaamini sasa umefika wakati wa kuchukua ubingwa ambao upo mikononi mwa Jose Mourinho.
    Hata hivyo, hofu imetanda Emirates baada ya vipimo kuonesha kwamba Jack Wilshere anaweza kukaa nje ya uwanja wa muda mrefu baada ya kuonekana kuna jeraha kubwa katika kifundo chake cha mguu alichoumia.
    Arsenal wanatarajia kufanya zaidi mwishoni mwa juma hili, lakini hali inavyoonesha Wilshere anaweza kukaa nje ya uwanja kwa wiki sita hadi nane.
    Cheki mfululizo wa Majeruhi kwa Wilshere.

    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: TAARIFA ZA KUSONONESHA KWA MASHABIKI WA ARSENAL Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top