Katibu
Mkuu wa Wizara ya Afya na Usitawi wa Jamii Dk Donan Mmbando
akizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani kwa kulishukuru
shirika la Afya Ulimwenguni (WHO) kwa kutoa msaada wa Dawa za kutakasa maji (Water Guard ) leo jiji Dar es Salaam kulia ni Mwakilishi wa shirika la Afya Ulimwenguni hapa Nchini Dk Rufaro Chatora.
Baadhi
ya waandishi wa habari wakimsikiliza kwa makini Katibu Mkuu wa Wizara
ya Afya na Usitawi wa Jamii Dk Donan Mmbando leo jiji Dar es Salaam
Mwakilishi
wa shirika la Afya Ulimwenguni (WHO) hapa Nchini Dk Rufaro Chatora
akimkabidhi msaada huo Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii
Dk Donan Mmbando leo jiji Dar es Salaam
Katibu
Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Dk Donan Mmbando akimkabidhi
Mgaga Mkuu wa Serikali, Dk.Grace Magembe msada huo ulio tolewa na
shirika la Afya Ulimwenguni leo jijini Dar es Salaam
( Picha na Emmanuel Massaka)
0 comments:
Post a Comment