Katibu
Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi
Liberata Mulamula, na Balozi wa Umoja wa Ulaya Nchini Tanzania, Mhe.
Filiberto Sebregondi, wakibadilishana Hati ya Makubaliano ya kuruhusu
waangalizi wa uchaguzi kutoka Umoja wa Ulaya (EU) kuingia nchini
kufuatilia Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25 mwaka huu.
Hati hiyo ya makubaliano imesainiwa leo, 28-08-2015, katika ukumbi wa mikutano wa Wizara hiyo.
Balozi
wa Umoja wa Ulaya Mhe. Filiberto Sebregondi, akisaini Hati ya
Makubaliano ya kuruhusu waangalizi wa uchaguzi kutoka Umoja wa Ulaya
(EU) kuingia nchini kufuatilia Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25 mwaka huu.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Liberata Mulamula, naye akisaini Hati hiyo.
Zoezi la kusaini likiendelea.
Katibu Mkuu,Balozi Mulamula akisisitiza jambo, huku Maofisa wa Wizara ya Mambo ya Nje, wakifuatilia kwa makini mazungumzo hayo.
Mkuu
wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini na Msemaji wa Wizara ya Mambo ya
Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bi. Mindi Kasiga,(kulia) akizungumza
katika hafla hiyo ya kusaini hati ya Makubaliano ya kuruhusu waangalizi
wa uchaguzi kutoka Umoja wa Ulaya (EU) kuingia nchini kufuatilia
Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25 mwaka huu.
Bi. Mindi Kasiga akiwatambulisha waandishi wa Habari, waliohudhuria hafla hiyo (hawapo pichani).
Balozi wa Umoja wa Ulaya Mhe. Filiberto Sebregondi, akijibu maswali ya Waandishi wa habari.
0 comments:
Post a Comment