https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    Zidane kamuondoa nyota huyu kikosini kutokana na ongezeko la uzito

    Real Madrid Castilla ni timu ya pili au ya wachezaji wa akiba wa klabu ya Real Madrid ya Hispania lakini ni sehemu ya Academy ya klabu ya Real Madrid na hushiriki katika Ligi ya Segunda Division B. Meneja wa Real Madrid Castilla ni mchezaji wa zamani wa kimataifa wa Ufaransa ambaye amewahi kuitumikia klabu ya Real Madrid Zinedine Zidane.
    eero-main
    Zidane kushoto, upande wa kulia Markkanen
    Timu hiyo ya wachezaji wa akiba kupitia kwa meneja wake Zinedine Zidane imemuacha nyota wake wa Real Madrid Castilla Eero Markkanen kutokana na ongezeko la uzito, Markkanen ameongezeka uzito wa Kg 18.
    At43Ln7
    Eero Markkanen
    Eero-Markkanen
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: Zidane kamuondoa nyota huyu kikosini kutokana na ongezeko la uzito Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top