https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    Angalia collabo ya Mafikizolo, Diamond na wengine; ‘Tell Everybody’ #Global Goals Campaign! (Video).

    Good news mtu wangu, ile collabo ya kundi la Mafikizolo kutoka South Africa na mtu wetu Diamond Platnumz imetoka!
    ‘Tell Everybody’ ndio njia la wimbo, na ni wimbo ambao ni sehemu ya project ya Umoja wa Mataifa iitwayo UN Sustainable Development Goals (SDGs) Project yenye dhamira ya kupambana kutokomeza umasikini, kurekebisha tabia nchi na kuhamasisha usawakufikia mwaka 2030.
    global3
    Diamond Platnumz.
    Wimbo huu umeshirikisha pia wasanii kutoka nchi nyingine za Kiafrika, wapo wakina Yemi Alade kutoka Nigeria, Sauti Sol kutoka KenyaToofan kutoka TogoBecca naSarkodie kutoka Ghana na of course Diamond Platnumz kutoka Tanzania pamoja naMafikizolo kutoka South Africa!
    Kuna mchanganyiko pia wa lugha mbalimbali kama Kiingereza, Kifaransa, Kiswahili, Pidgin na Kizulu... kizuri zaidi ni kwamba kila verse utakayoisikia kwenye wimbo huu basi ujue imeandikwa na msanii mwenyewe!
    Hapa ninazo baadhi ya picha za wasanii walioshiriki kufanikisha hii project mtu wangu…
    global2
    Becca Kutoka Ghana
    global3
    Diamond Platnumz, Tanzania.
    global4
    global5
    Mafikizolo na wasanii wengine.
    global6
    Diamond Platnumz na wasanii wengine.
    global7
    Mafikizolo, South Africa.
    global8
    Nhlanhla Nciza wa Mafikizolo.
    global10
    Theo wa Mafikizolo.
    global11
    Yemi Alade, Nigeria.
    global12
    Kama bado hujabahatika kukutana na video ya ‘Tell Everybody’ karibu uitazame hapa chini mtu wangu
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: Angalia collabo ya Mafikizolo, Diamond na wengine; ‘Tell Everybody’ #Global Goals Campaign! (Video). Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top