Mkurugenzi Mtendaji wa Makampuni ya Dangote, Alhaj Aliko Dangote
(aliyesimama katikati), akizungumza na maofisa kutoka Ofisi ya Waziri
Mkuu, Wizara ya Mambo y Nje, Viwanda na Biashara na Masoko, Kituo cha
Uwekezaji Tanznia (TIC) na taasisi mbalimbali za serikali, walipokutana
na Mtendaji huyo mkoani Mtwara jana kujadili kuhusu uzinduzi wa kiwanda
hicho kikubwa cha simenti.
Mkurugenzi Mtendaji wa Makampuni ya Dangote, Alhaj Aliko Dangote
(kushoto), akiwasikiliza kwa makini maofisa kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu,
Wizara ya Mambo ya Nje, Viwanda, Biashara na Masoko na Kituo cha
Uwekezaji Tanzani (TIC), waliotembelea kiwanda cha simenti cha Dangote
kinachojengwa mkoani Mtwara jana kwa ajili ya maandalizi ya kuzindua
rasmi Oktoba mwaka huu.
Mwekezaji kutoka Nigeria, Mtendaji Mkuu wa Makampuni ya Dangote,
Alhaj Aliko Dangote (kushoto), akiwasikiliza kwa makini Mkurugenzi wa
Dangote Makao Makuu, Bw. Sada Ladan Baki (kulia), Mwakilishi Mkazi wa
Makampuni hayo, Bi. Esther Baruti na Kaimu Balozi wa Nigeria, Bw. S.
Umaru, alipokutana nao kwenye mradi mkubwa wa ujenzi wa kiwanda cha
simenti mkoani Mtwara jana.
Bendera zikipepea kwenye kiwanda hicho kikubwa kuliko vyote Afrika Mashariki na Kati
Sehemu ya mitambo kiwanda hicho ambayho baadhi ujenzi wake umekamilika
0 comments:
Post a Comment