Mshambuliaji wa Simba, Hamis Kiiza (wa pili
kulia) akishangilia sambamba na wachezaji wenzake baada ya kuifungia timu yake
bao la tatu dhidi ya Kagera Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania
Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam leo. (Picha na Francis Dande)
Beki
wa Simba, Emery Nibomana (kulia) akichuana na mchezaji wa Kagera Sugar
wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika kwenye
Uwanja wa Taifa Dar es Salaam.
Hamis Kiiza akichini wakati wa harakati za kufunga goli.
Mshambuliaji
wa Simba, Hamis Kizza akichuna na beki wa Kagera Sugar, Ibrahim Job
wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika Uwanja wa
Taifa Dar es Salaam.
Tumewashika...............
Raha ya ushindi........
Beki
wa Kagera Sugar, Salum Kanon akijaribu kumzuia mshambuliaji wa Simba,
Peter Mwalyanzi katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara
uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam.
Kocha wa Simba, Dylan Kerry akisalimia na kocha mwenzake wa Kagera Sugar, Mbwana Makata.
Mshambuliaji
wa Simba, Peter Mwalyanzi akichuana na kiungo wa Kagera Sugar, George
Kavilla katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika
kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam.
Mshambuliaji
wa Simba, Peter Mwalyanzi akichuana na kiungo wa Kagera Sugar, George
Kavilla katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika
kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam.
Mshambuliaji
wa Simba, Peter Mwalyanzi akichuana na kiungo wa Kagera Sugar, George
Kavilla katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika
kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam.
Mwamuzi wa mchezo kati ya Simba naKagera Sugar, Abdallah
Kambuzi kutoka Shinyanga akimkabidhi mpira mshambuliaji wa Simba, Hamis Kiiza
baada ya kuifungia timu yake mabao matatu ‘hat trick’ katika mchezo wa Ligi Kuu
ya Soka Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
0 comments:
Post a Comment