Mgombea ubunge wa jimbo la Lushoto mkoani Tanga, Mohamedi Mtoi Kanyawana wa
UKAWA kupitia CHADEMA, amefariki dunia jioni hii baada ya gari
walilokuwa wamepanda kupata ajali wakiwa wanatoka kwenye kampeni za
uchaguzi mkuu zinazoendelea.
Mpaka mauti yanamkuta Mohamed Mtoi, alikuwa ni afisa Mwandamizi Idara ya Uratibu wa Kanda makao makuu ya CHADEMA.
MTANDAO HUU UTAWALETEA HABARI ZAIDI KESHO



0 comments:
Post a Comment