https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    David Beckham anatarajiwa kucheza movie ya James Bond 007…

    Staa wa zamani wa klabu za Real Madrid, Man United, LA Galaxy na timu ya taifa ya Uingereza David Beckham anatarajiwa kuonekana katika movie. Beckham mwenye umri wa miaka 40, imeripotiwa kwa mujibu wa mtandao wa mirror.co.uk, unamtaja David Beckham kucheza katika movie ya James Bond.
    Beards
    Beckham anatajwa kuchukua nafasi ya Daniel Craig ambaye mkataba wake unakaribia kumalizika, Beckham ambaye ni baba wa watoto wa nne amekiri kuwa aliwahi kufikiria kucheza movie baada ya mashabiki kushauri hilo . Hata hivyo taarifa hizi sio ngeni kwa mashabiki wa Beckham kwani ameshawahi kukiri kushawishika katika masuala ya movie.
    Daniel-Craig-in-a-new-photoshoot-to-announce-the-release-of-tickets-Bond-film-Spectre
    Daniel Craig
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: David Beckham anatarajiwa kucheza movie ya James Bond 007… Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top