Taylor Weidman ni Mwandishi wa Habari ambaye ameishi Thailand kwa kama miaka miwili hivi, amekatisha mitaa ya Jiji la Bangkok, Thailand.
Maeneo mengi ya Miji mikubwa kama Dar es
Salaam wakati wa usiku unakuta kuna watu wasio na makazi wanalala
pembeni ya barabara, au wanalala Sokoni na maeneo mengine ambayo sio
makazi yao rasmi kabisa kutokana na ugumu wa maisha.
Mwandishi Taylor Weidman amepiga pichaz baadhi ya watu ambao wameweka makazi yao kwenye mabaki ya Ndege ambazo inaonekana zimetelekezwa kwa muda mrefu.
0 comments:
Post a Comment