Ferguson amesema aliiambia
familia ya Glazer pamoja na mkurugenzi mkuu David Gill kumuongezea
mshahara wake mara mbili haraka iwezekanavyo baada ya kufanya
makubaliano ya kusainisha mkataba mpya mshambuliaji Wayne Rooney
kubakia Manchester United wakati alipokuwa akiwaniwa na Manchester City
mwaka 2010.
Kipengele hicho kilikubaliwa bila
kupingwa wala hakukuwa na tatizo katika hilo, amefafanua kwenye kitabu
chake kipya kinachokwenda kwa jina la ‘Leading’. Ferguson amesema
aliendelea na utaratibu wa kuhakikisha hakuna nyota wa klabu hio
anaelipwa pesa nyingi kuliko kocha.
“Wakati Glazer na Davi Gill
walipokubali kuongeza mshahara wa Wayne Rooney, waliniuliza najisikiaje
juu ya hilo”, amesema Ferguson.
“Niliwaambia sidhani kama inafaa
Rooney kupata mshahara mara mbili ya ninaopata mimi, Joel Glaze haraka
akasema: “Moja kwa moja nakubaliana na wewe, sasa tufanyaje?”
“Ilikuwa rahisi. Tulikubaliana
hakuna mchezaji atakakuwa akilipwa zaidi yangu. Tukakubaliana ndani ya
muda mfupi na inahitaji kusom sentensi iliyopita kupata jibu”.
Rooney was 24 years old at the time, with less than two years on his deal and had been flirting with what would have been a controversial move to Manchester City.
Rooney was 24 years old at the time, with less than two years on his deal and had been flirting with what would have been a controversial move to Manchester City.
Alitoa kauli ambayo aliuliza
malengo ya klabu wakati United walipokubali kumlipa kiasi kikubwa cha
mshahara kwa ajili ya kumbakiza.
Mshambuliaji huyo wa England alisaini mkataba mpya October 2010 wenye thamani ya mshahara wa £180,000 kwa wiki.
It made him the best paid player
in United’s history. In February last year, he signed for another five
years at £300,000 a week.


0 comments:
Post a Comment