https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    LOWASSA ATUA MULEBA,APATA MAPOKEZI MAKUBWA



    MGOMBEA urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema ambaye anaungwa mkono na vyama vinavyounda UKAWA Edward Lowassa leo aitikisa ngome ya Aliyekuwa Waziri wa Yumba na Ardhi Profesa Anna Tibaijuka baada ya mapokezi yake kusimamisha shughuli zote katika wilaya hiyo.
            Kama unavyoona umati huo kwenye picha hizo,Lowassa ambaye anaendelea na harakati zake za kampeni katika mikoa mbali mbali nchini amezidi acha simulizi baada ya watu kujitokeza kwa wingi kwenye mikutano yake,

    Lowassa akiwahutubia maelfu na maelfu ya wakati wa Muleba amewataka kujitokeza kwa wingi Octoba 25 na kumchagua kwa kura nyingi aliakapambana na kuondoa umasikini  wakutupwa kwa watanzania
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: LOWASSA ATUA MULEBA,APATA MAPOKEZI MAKUBWA Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top