https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    MAGUFULI AITIKISA MUHEZA MCHANA HUU,MAELFU YA WANANCHI WAJITOKEZA KUMLAKI

    Mgombe Urais wa CCM Dkt Magufuli akiwahutubia wananchi wa Muheza kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika katika uwanja wa CCM mapema leo mchana wilayani humo mkoani Tanga
    Mgombe Urais wa CCM Dkt Magufuli akisisitiza jambo kwa Wananchi wa Muheza waliojitokeza kwa wingi kumsikiliza kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni uliofanyika katika uwanja wa CCM mapema leo mchana wilayani humo mkoani Tanga
    Wananchi wa Muheza na vitongoji vyake wakiwa wamejitokeza kwa wingi mapema leo mchana wakimsikiliza Mgombe Urais wa CCM Dkt Magufuli,alipokuwa akiwahutubia kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni uliofanyika kwenye uwanja wa CCM mapema leo mchana wilayani humo mkoani Tanga
    Mgombe Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli akimkabidhi Ilani ya chama cha CCM,Balozi Rajab Adadi ambaye anagombea Ubunge jimbo la Muheza,mbele ya maelfu ya watu waliojitokeza kwa wingi kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni uliofanyika katika uwanja wa CCM mapema leo mchana wilayani humo mkoani Tanga
    Wananchi wakishangilia jambo 
    Mgombe Urais wa CCM Dkt Magufuli akitoka kwwenye uwanja wa CCM mjini Muheza mara baada ya kuwahutubi kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni uliofanyika katika uwanja wa CCM mapema leo mchana wilayani humo mkoani Tanga.


    PICHA NA MICHUZI JR-MUHEZA.
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: MAGUFULI AITIKISA MUHEZA MCHANA HUU,MAELFU YA WANANCHI WAJITOKEZA KUMLAKI Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top