https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    Mambo yameiva EURO 2016, kikosi cha Uingereza watafikia hoteli hii ya kifahari.. (+Pichaz)

    Ni kawaida sehemu ambayo hutarajia kupokea watu wengi katika kipindi fulani, bidhaa na vitu vingine hupatikana kwa gharama za juu sana, kutokana na mkusanyiko wa watu wengi na kama unahitaji baadhi ya huduma za sehemu hiyo kama hotel, vyakula na vingine kwa urahisi lazima ufanye booking.
    2C0C2C1800000578-0-image-a-43_1441637317114
    Timu ya taifa ya Uingereza imeshaanza kufanya maandalizi ya michuano ya EURO 2016 itakayofanyika Ufaransa, Uingereza imefanya booking ya hotel na kuomba kupata huduma maalum kipindi watakapokuwa hapo, sambamba na gharama ya pound 500 kwa usiku mmoja ambayo ni zaidi ya Tsh milioni 1.6 za Kitanzania kwa chumba.
    2C0C2C7E00000578-0-image-a-52_1441637317517
    Huduma watakazopata Uingereza za VIP ni pamoja na huduma ya treni, uwanja wa mazoezi pamoja na ulinzi kwa usalama wa timu yao. Tayari shirikisho la soka Uingereza FA kupitia kwa kocha wa timu hiyo Roy Hodgson limethibitisha kufikia katika hotel ya Auberge du Jeu Paume na kuomba kupata huduma za VIP.
    2C0C2C3200000578-0-image-a-44_1441637317115
    2C0C2C6A00000578-0-image-a-57_1441637317642
    2C0C2C0400000578-0-image-a-51_1441637317410
    2C0C2C4600000578-0-image-a-56_1441637317633
    2C0C2C5B00000578-0-image-a-46_1441637317164
    2C0C2C9A00000578-0-image-a-49_1441637317334
    2C0C2C7E00000578-0-image-a-52_1441637317517
    2C0C2C9600000578-0-image-a-53_1441637317534
    2C0C2C2B00000578-0-image-a-45_1441637317116
    2C0C2C3C00000578-0-image-a-55_1441637317555
    2C0C6E7D00000578-0-image-a-47_1441637317213 (1)
    Uwanja wa US Chantilly utakarabatiwa kabla ya timu ya taifa ya Uingereza kufika hapo . Mwendo wa dakika 4 kutoka hoteli watakapofikia
    2C0C307300000578-3225346-image-a-70_1441639348682
    Kocha wa timu ya taifa ya Uingereza Roy Hodgson kulia sambamba na msaidizi wake Gary Neville
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: Mambo yameiva EURO 2016, kikosi cha Uingereza watafikia hoteli hii ya kifahari.. (+Pichaz) Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top