https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    Maonyesho ya ndege za kivita Washington DMV

    Maonyesho ya ndege za kivita Washington DMV

     

    Maonyesho hayo yasiyo na kiingilio, yaliambatana na maadhimisho ya miaka 100 ya jeshi la maji nchini hapa.Maonyesho ya ndege za kivita na vifaa vingine kutoka majeshi ya Marekani, yamefanyika leo na kuhudhuriwa na maelfu ya watazamaji.
     Askari miavuli wakishuka kwa aina yake

     Mmoja wa askari wa mwavuli akishuka katika ufunguzi wa maonyesho hayo
     F-22 Raptor

     F-22 a.k.a Raptor na Mustang zikifanya onyesho la pamoja
     F-22 a.k.a Raptor ikisalimu watazamaji kwa mtindo wake
     Raptor. Ndege inayoaminika kuwa "kali" zaidi katika mashambulizi duniani
     F-22 Raptor inaaminika kuwa ndege ya thamani zaidi duniani, kila moja ikigharimu takriban dola za kiMarekani milioni 150
     F-16 Thunderbirds ambazo ndizo zilikuwa onyesho kuu kwa mwaka huu zikianza maonyesho
    C-5. Moja ya ndege kubwa za mizigo katika jesho la Marekani
     Mija ya injini za ndege zikiwa uwanjani kwa maonyesho
    Watu wakisubiri zamu yao kupata kumbukumbu kwenye "usukani" wa ndege
    Na "bodaboda" za angani nazo zilikuwepo
     F-35 Joint Strike Fighter (JSF) ni moja kati ya ndege mpya zaidi. Gharama ya kuitengeneza inakadiriwa itafikia dola za kiMarekani milioni 85 ifikapo 2018

     
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: Maonyesho ya ndege za kivita Washington DMV Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top