
Mgombea
Mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Haji Duni akihutubia mamia ya
wakazi wa jimbo la Urambo Mashariki mkoani Tabora wakati wa mkutano wa
kampeni uliofanyika kwenye uwanja wa Mwananchi Square. (Picha na Francis
Dande)

Mgombea
Mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Haji Duni (kushoto) akimkabidhi
kadi ya Chadema aliyekuwa Mjumbe wa Kamati ya Siasa ya CCM Kata ya Ugala
Urambo, Tabora, Hamidu Mussa baada ya kukiahama chama hicho na kujiunga
na Chadema wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika jana katika uwanja
wa Mwananchi Square.

Mgombea
Mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Haji Duni (kushoto) akimkabidhi
kadi ya Chadema aliyekuwa Mjumbe wa Kamati ya Siasa ya CCM Kata ya Ugala
Urambo, Tabora, Rashid Bihogora baada ya kukiahama chama hicho na
kujiunga na Chadema wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika katika
uwanja wa Mwananchi Square.

Naibu
Katibu Mkuu wa CUF, ambaye ni mgombea ubunge wa Ukawa jimbo la Kaliua
kupitia CUF, Magdalena Sakaya akihutubia mkutano wa kampeni uliofanyika
kwenye uwanja wa Mwananchi Square Urambo, Tabora.

Naibu
Katibu Mkuu wa CUF, ambaye ni mgombea ubunge wa Ukawa jimbo la Kaliua
kupitia chama hicho, Magdalena Sakaya akihutubia mkutano wa kampeni
uliofanyika kwenye uwanja wa Mwananchi Square Urambo, Tabora.
Wananchi wa Urambo, Tabora wakisikiliza mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa Ukawa.
Bango....
Aliyekuwa
mbunge wa jimbo la Mkanyageni, Zanzibar, Habib Mnyaa, (CUF) akihutubia
mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye uwanja wa Mwananchi Square Urambo
Mashariki, Tabora.
Wanachi wakifuatilia mkutano huo.
0 comments:
Post a Comment