Nimekusogezea na hizi nyumba 10 kali zilizojengwa ndani ya maji mtu wangu…(Pichaz)
Kati ya vitu ambavyo huwa vinanivutia nia aina ya nyumba na jinsi zilivyojengwa kwa ufundi mkubwa.
Leo nimekusogezea hizi nyumba ambazo zimekuwa zikitumiwa na watu bila
wasiwasi wowote huku zikiwa zimejengwa kitaalamu zaidi ndani ya maji.
0 comments:
Post a Comment