Mshambuliaji
wa mkopo West Ham, Mnigeria Victor Moses akiruka juu kushangilia baada
ya kuifungia timu hiyo katika ushindi wa 2-1 dhidi ya wenyeji Manchester
City usiku wa leo Uwanja wa Etihad katika mchezo wa Ligi Kuu ya
England. Bao lingine la West Ham limefungwa na Diafra Sakho wakati la
Man City limefungwa na Kevin De Bruyne PICHA ZAIDI GONGA HAPA
- Blogger Comments
- Facebook Comments
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment