Mkurugenzi
msaidizi wa benki ya CRDB huduma kwa wateja, Saugata Bandyopadhyay
akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kufika katika benki ya CRDB
tawi la Water Front leo jijini Dar es Salaam, wakati wa kuadhimisha
wiki ya utumisha wa huduma kwa mteja ambayo hufanyika kila Oktoba 5 kila
mwaka katika banki hiyo.
Meneja
wa mwongozaji wa wateja wa benki ya CRDB tawi la Water Front, Yahaya
Kiyabo akizungumza na mteja aliyetembelea tawi hilo leo.
Baadhi
ya wateja waliofika katika benki ya CRDB tawi la Water Front
wakipokelewa na wafanyakazi wa benki hiyo jijini Dar es Salaam
leo,wakati wa kuadhimisha wiki ya utumisha wa huduma kwa mteja ambayo
hufanyika kila Oktoba 5 kila mwaka katika banki hiyo iliyoadhimishwa
katika tawi la Water Front jijini Dar es Salaam.
Keki ya kuwashukuru wateja wanaotembelea katika tawi la Water Front.
Wateja waliotembelea tawi la Water Front, Mr &Mrs Prakash Shah wakishirikiana na Genoveva Kiliba kukata keki ya kuadhimisha
wiki ya utumisha wa huduma kwa mteja ambayo hufanyika kila Oktoba 5
kila mwaka katika banki hiyo iliyoadhimishwa katika tawi la Water Front
jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi
msaidizi wa benki ya CRDB huduma kwa wateja, Saugata Bandyopadhyay
akiwagawia keki wateja waliofika katika tawi la Water Front katika
kuadhimisha wiki ya huduma kwa Wateji.
Wateja wakifungua shampaini katika tawi la Water Front wakati wa kuadhimisha wiki ya huduma kwa Wateji.
Wateja
waliohudhulia katika kuazimisha wiki ya huduma kwa wateja kwakigongesha
glasi za waini leo katika tawi la Water Front jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi
msaidizi wa benki ya CRDB huduma kwa wateja, Saugata Bandyopadhyay
akiwakabidhi wateja wa benki hiyo zawadi katika kuadhimisha wiki huduma
kwa wateja iliyofanyika katika tawi la Water Front jijini Dar es Salaam
leo.
Mteja Mrs. Prakash Shah akizungumza kwa kuwapongeza wafanyakazi wa benki ya CRDB wati la Water Front jijini Dar es Salaam leo.
Meneja
wa benki ya CRDB Tawi la Water Front, Donath Shirima akizungumza katika
kuadhimisha wiki ya huduma kwa wateja iliyofanyika jijini Dar es Salaam
leo katika tawi la Water Front.
Mkurugenzi msaidizi wa benki ya CRDB huduma kwa wateja, Saugata Bandyopadhyay akizungumza katika kuadhimisha wiki ya huduma kwa wateja iliyofanyika jijini Dar es Salaam leo katika tawi la Water Front.
Baadhi ya wafanyakazi wa tawi la Water Front wakisikiliza kwa makini.
Wafanyakazi wa Benki ya CRDB tawi la Water Front wakiwa katika picha ya pamoja.
0 comments:
Post a Comment