https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    CANADA WAFUNGISHA NDOA 115 ZA JINSIA MOJA KWA WAKATI MMOJA

    wedding2
    Wapenzi wa muda mrefu Richard Laslett na Collin Gunther ambao wamedumu kwenye mahusiano kwa muda wa miaka 37 wamepata nafasi ya kuwa moja kati ya wapenzi wa jinsia moja 115 waliofungishwa ndoa kwa wakati mmoja mjini Toronto, Canada.


    weddind
    Ndoa hizo zimefungwa kwa pamoja na kuwakutanisha wapenzi wa jinsia moja kutoka maeneo mbalimbali duniani kusherekea nguvu ya mapenzi yao.
    Meya wa Toronto Norm Kelly amesema wanandoa hao wamekutana na kufurahia hatua hiyo muhimu ya kufunga pingu za maisha.
    wedding3
    Takribani nchi 15 duniani sasa zimeruhusu mapenzi ya jinsia moja .
    lesbian
    Unaweza kuangalia video hapo chini kuona jinsi tukio hilo lilivyokuwa.
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: CANADA WAFUNGISHA NDOA 115 ZA JINSIA MOJA KWA WAKATI MMOJA Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top