Mamia
ya Wananchi wa Kata ya Dumila Jimbo la Kilosa wakisikiliza sera za
Mwigulu Nchemba alipokuwa akiinadi Ilani ya Chama cha Mapinduzi hii leo.
"Wananchi
wa Dumila,Mchagueni Mbunge huyu wa CCM,Ni Mchapa kazi na ameshaanza
kufanya kazi za maendeleo hata bila kuwa Mbuge,Hakikisheni anashinda kwa
kishindo iliakaungane na timu ya kazi ya Magufuli"Mwigulu akizungumza
Dumila.
Mwigulu Nchemba akiondoka viwanja vya Mkutano Kata ya Dumila.
Mwigulu Nchemba akiwasili kata ya Kilombero Jimbo la Mikumi hii leo.
Mwigulu
akiwahutubia Wananchi wa Kilombero hii leo,Kubwa amewaomba waendelee
kuwa na Imani na Chama cha Mapinduzi hasa Mgombea Urais Ndg.J.Pombe
Magufuli,Ilani ya CCM inatambua changamoto za Wananchi wa kilombero
ambao asilimia kubwa ni wakulima wa Miwa na mnategemea kipato chenu
kutokana na Kiwanda cha SUkari cha Kilombero,Uongozi Ujao wa magufuli
unakwenda kufanya kazi ya kuhakikisha Wanakilombero wanafaidika na
kiwanda hiki."Mwigulu.
Mbunge
Mtarajiwa wa Jimbo la Mikumi Bw. NKya akizungumza na Wananchi wake wa
kata ya Kilombero,Amesisitiza kusimamia hazi za wakulima wa miwa na
Uboreshaji wa miundombinu ya Barabara.
Wananchi wa Kilombero wakionesha ishara ya Umoja ni Ushindi kwa Chama cha Mapinduzi.
Mwigulu
kwa wanakilombero "Mandeleo ya kweli yanaletwa na Chama cha
Mapinduzi,Hakikisheni mafiga matatu yanapatikana(Rais,Mbunge na Madiwani
wa Chama cha Mapinduzi),Umoja huu ni kiungo kizuri kwenye ufuatiliaji
wa shughuli za maendeleo.
Mwigulu
Nchemba ambaye ni Mjumbe ya timu ya Ushindi ya Chama cha Mapinduzi
akimnadi Mbunge mtarajiwa wa Jimbo la Ifakara Ndg.Abubakar Assenga.
"Nawaombeni
tufanye Uchaguzi wa Amani,Kila Chama kiheshimu uwepo wa Chama
kingine"Mwigulu Nchemba akizungumza na Wananchi wa Ifakara Mjini hii
leo.
Mwigulu Nchemba akisalimiana na Wananchi wa Ifakara Mjini.
"Wanaifakara
mmeshawekewa Ujenzi wa barabara ya Rami kutoka Kilombero hadi hapa
kwenye Ilani ya CCM,Nawaomba mchagueni Magufuli ambaye hata hapa Ifakara
amefika wakati wa Kufungua Kivuko ,Na sasa anakuja kufungua Ujenzi wa
barabara hii ilikufungua shughuli za Kiuchumi kwa huu mji".
Sehemu
ya Maelfu ya Wananchi wa Ifakara wakisikiliza hoja za Mwigulu Nchemba
akiwaambia wamchague Magufuli kwakua ni Mchapakazi,Muadilifu na
Mfuatiliaji.
Comrade
Mwigulu Nchemba akiteta jambo na Mbunge mtarajiwa wa Jimbo la Gairo
ndg,Shabiby mapema hii leo alipokwenda kumuombea kura za Urais,Ubunge na
Udiwani.
Mbunge
mtarajiwa wa Jimbo la Mrimba Ndg.Kunambi akiwaeleza Wananchi wa Mrimba
kuwa anasifa za kutosha kuwa muwakilishi wao kwenye Bunge la
Jamhuri,Hivyo anawaomba wamchague kwa kura nyingi iliabadilishe taswira
ya maeendeleo kwa Jimbo la Mrimba.
Wananchi wa Mrimba wakisema "Hapa Kazi tu"
Mwigulu Nchemba akimnadi Bw.Kunambi mbunge mtarajiwa wa Jimbo la Mrimba.
Wananchi wa kata ya Mashariki mwa Jimbo la Ifakara wakifuatilia Mkutano wa hadhara wa kampeni wa Mwigulu Nchemba hii leo.
Mwigulu
Nchemba akiwasihi Wananchi wa Jimbo la Ifakara kumchagua Assenga
Abubakar kuwa Mbunge wao kwakua anamjua namna alivyomfuatiliaji wa
shughuli za maendeleo hata akiwa ndani ya Chama pale UVCCM Makao Makuu.
Picha na Sanga Festo Jr.


0 comments:
Post a Comment