https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    Taswira ya Mkutano wa Madereva na Rais Kikwete, Dar

    MAKONGORO (1)-001
    Baadhi ya madereva wa wakiwa tayari wamewasili Ukumbi wa mikutano, Ubungo Plaza mahali ambapo mkutano huo utafanyika.
    MAKONGORO (2)-001Baadhi ya madereva waliokwisha fika wakionekana kuteta jambo.MAKONGORO (3)-001Hali ilivyo sasa kabla na ya kuanza kwa mkutano huo.MAKONGORO (4)-001…Wakisubuiri kuanza kwa mkutano huo ili wamueleze Rais Kikwete kero zao.MAKONGORO (5)-001
    Baadhi ya madereva wakiwa tayari wamewasili ukumbini hapo. 
    Uongozi wa Chama Cha Wafanyakazi Madereva Tanzania (TADWU), leo wanatarajia kufanya mkutano na Rais Jakaya Mrisho Kikwete kwenye Ukumbi wa mikutano, Ubungo Plaza jijini Dar es Salaam ili wamueleze kero zinazowakabiri madereva na sekta nzima ya usafirishaji wa nchi kavu.
    Picha zinaonesha taswira ya baadhi ya madereva wa mabasi na malori,  ukumbini hapo wakisubiri kuanza kwa mkutano muda mfupi ujao, ambapo Rais Kikwete anatarajiwa kuhudhuria mkutano huo.
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: Taswira ya Mkutano wa Madereva na Rais Kikwete, Dar Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top