Vijana
wa Mjini Tarime wakiongoza mapokezi ya Mgombea Urais wa Chama cha
Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward
Lowassa, alipowasili mjini Tarime kwa Mkutano wa Kampeni, leo Oktoba 10,
2015.
Mgombea
Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli
wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, akiwahutubia wananchi wa Tarime katika
Mkutano wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Sabasaba, Tarime Mjini,
Mkoani Mara leo Oktoba 10, 2015.
Waziri Mkuu wa Zamani, Mh. Fredrick Sumaye, akiwasalimia wananchi wa Mji wa Tarime waliokuwa wamefurika kwa wingi kwenye Uwanja wa Sabasaba, Tarime Mjini, Mkoani Mara leo Oktoba 10, 2015.
Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Mara, Mh. Vicent Nyerere, akizungumza wakati wa Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, uliofanyika kwenye Uwanja wa Sabasaba, Tarime Mjini, Mkoani Mara leo Oktoba 10, 2015.
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Tarime Vijijini kupitia CHADEMA, Mh. John Heche, akihutubia wananchi wakati waMkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, uliofanyika kwenye Uwanja wa Sabasaba, Tarime Mjini, Mkoani Mara leo Oktoba 10, 2015.
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Tarime Mjini kupitia CHADEMA, Mh. Ester Matiko akihutubia wananchi wakati wa Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, uliofanyika kwenye Uwanja wa Sabasaba, Tarime Mjini, Mkoani Mara leo Oktoba 10, 2015.
Sehemu
ya wananchi wa Mji wa Tarime, walioshiriki Mkutano wa Kampeni za
Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia
mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, uliofanyika kwenye Uwanja wa
Sabasaba, Tarime Mjini, Mkoani Mara leo Oktoba 10, 2015.
Mgombea
Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli
wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, akiwapungia wananchi wa Mji wa Tarime
Mkoani Mara.
Mgombea
Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli
wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa na Waziri Mkuu wa Zamani, Mh. Fredrick
Sumaye, wakiwa pamoja na Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Mara, Mh. Vicent
Nyerere, Mgombea Ubunge wa Jimbo la Tarime Mjini, Mh. Ester Matimo
pamoja na Mgombea Ubunge wa Jimbo la Tarime Vijijini, Mh. John Heche,
wakati wa Mkutano wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Sabasaba,
Tarime Mjini, Mkoani Mara leo Oktoba 10, 2015.
Mgombea
Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli
wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, asikiliza jambo kutoka kwa Mgombea Ubunge
wa Jimbo la Tarime Mjini, Mh. Ester Matimo, wakati wa Mkutano wa
Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Sabasaba, Tarime Mjini, Mkoani
Mara leo Oktoba 10, 2015.
Mgombea
Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli
wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, akiwahutubia wananchi wa Tarime katika
Mkutano wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Sabasaba, Tarime Mjini,
Mkoani Mara leo Oktoba 10, 2015.
0 comments:
Post a Comment