Kamanda
wa jeshi la polisi mkoani Shinyanga kamishina msaidiziJustus Kamugisha
akionesha moja ya mapanga yaliyokamatwa na jeshi la polisi yanadaiwa
kuwa yaliandaliwa kwa ajili ya kufanya vurugu wakati na baada ya
uchaguzi mkuu 2015
Vipande
vya nondo na mapanga yanayodaiwa kuwa ni ya mgombea ubunge jimbo la
Solwa mkoani Shinyanga Jeremia Mshandete wa Chadema, ni miongoni mwa
silaha za jadi zilizokatwa ambazo zinadaiwa kuwa ziliandaliwa kwa ajili
ya kufanya vurugu wakati na baada ya uchaguzi mkuu 2015.
Mawe,
viroba na makombeo yaliyokamatwa na jeshi la polisi baada ya kukutwa
ndani ya begi na vingine kwenye maboksi kwa ajili ya uharifu katika
uchaguzi.
Kamanda
wa jeshi la polisi mkoani Shinyanga kamishina msaidizi Justus Kamugisha
akionesha bendera ya CCM iliyochanwa mbele ya waandishi wa habari
hawapo pichani.
Kamanda
wa polisi mkoa wa Shinyanga akionesha makombeo yanayoadaiwa kuwa
yalilenga kutumika kufanyia vurugu kwenye jimbo la Solwa
0 comments:
Post a Comment