MGOMBEA UBUNGE KWA TIKETI YA CHADEMA ANUSURIKA KIFO KWA AJALI YA GARI
Daniel
naftal ngogo, mgombea ubunge wa jimbo la kwela mkoani sumbawanga kwa
chama cha demokrasia na maendeleo chadema amenusurika kufa katika ajali
iliyotokea mida ya saa tano asubuhi ya Leo.
0 comments:
Post a Comment