Ciara anaziandika headlines kwenye kurasa za burudani, baada ya kuachia hit single yake ya ‘Dance like we’re making love’ msanii huyo amerudi tena na single nyingine mpya!
Kame wewe ni shabiki wa Ciara basi ichukue hii mtu wangu, Ciara ameachia single yake mpya kabisa iliyopewa jina ‘Paint It Black’ wimbo utakao kuwa miongoni mwa soundtrack singles za movie mpya ya action ‘The Last Witch Hunter’ itakayochezwa na Vin Diesel hivi karibuni.
Kwenye interview yake na jarida la Rolling Stone. Ciara alisema;
“haikuwa kwenye mawazo yangu kufanya wimbo kama huu kwa ajili ya
Rolling Stone, lakini fursa ilivyojitokeza, nilifurahi sana, kwasababu
napenda sana kazi za Producer Adrianne Gonzales”.
Kama hujabahatika kuisikia single hii mpaka sasa, karibu uisikilize hapa chini mtu wangu.
0 comments:
Post a Comment