Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na mabalozi pamoja na wafanyakazi
wa Wizara ya Mambo ya nje na ushirikiano wa Kimataifa wakati wa hafla
ya kumuaga iliyofanyika katika ukumbi wa ukumbi wa Julius Nyerere
International Convention Centre(JNICC) jijini Dar es Salaam Oktoba 17,
2015.
(picha na Freddy Maro)
Rais
Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete pamoja na balozi wa China Mhe. LU Youqing
wakifunua kitambaa katika jiwe la msingi katika eneo litakapojengwa
jengo la Wizara ya Mambo ya nje na Ushirikiano wa kimataifa jijini Dar
es Salaam.
Balozi
wa Tanzania Afrika ya Kusini Radhia Msuya na Balozi wa Tanzania nchini
India Alan Kijazi wakimkabidhi zawadi Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete kwa
niaba ya mabalozi wanaoiwakilisha Tanzania nchi za nje wakati wa hafla
ya kutunuku tuzo kwa Mhe.Rais iliyofanyika katika ukumbi wa Julius
Nyerere International Convention Centre(JNICC) jijini Dar es Salaam.
0 comments:
Post a Comment