https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    RAIS KIKWETE AZINDUA JENGO LA KUHIFADHIA MADAWA LA HOSPITALI YA CCBRT JIJINI DAR ES SALAAM IJUMAA OKTOBA 3, 2015

     Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Rais wa Bodi ya Hospitali ya CCBRT ya jijini Dar es salaam Dr Wilbroad Slaa alipokwenda hospitalini hapo kuzindua jengo la bohari kuu ya madawa ya hospitali hiyo pamoja na canteen. Kulia ni Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Mhe Seif S. Rashid na katikati yao ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es salam Mhe Saidi Meck Sadick.
     Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitambulishwa na Rais wa Bodi ya Hospitali ya CCBRT ya jijini Dar es salaam Dr Wilbroad Slaa  kwa  Mtendaji Mkuu wa CCBRT Bw. Erwin Telemans alipokwenda hospitalini hapo kuzindua jengo la bohari kuu ya madawa ya hospitali hiyo pamoja na canteen. 
     Rais Jakaya Mrisho Kikwete viongozi mbalimbali  alipokwenda hospitalini hapo kuzindua jengo la bohari kuu ya madawa ya hospitali hiyo pamoja na canteen.
     Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na wadau alipokwenda hospitalini hapo kuzindua jengo la bohari kuu ya madawa ya hospitali hiyo pamoja na canteen.

     Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Rais wa Bodi ya Hospitali ya CCBRT ya jijini Dar es salaam Dr Wilbroad Slaa alipokwenda hospitalini hapo kuzindua jengo la bohari kuu ya madawa ya hospitali hiyo pamoja na canteen.
     Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa mabalozi wa nchi wafadhili  alipokwenda hospitalini hapo kuzindua jengo la bohari kuu ya madawa ya hospitali hiyo pamoja na canteen.
     Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na mabalozi alipokwenda hospitalini hapo kuzindua jengo la bohari kuu ya madawa ya hospitali hiyo pamoja na canteen.
     Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa mabalozi akiwa ameongozana na Rais wa Bodi ya Hospitali ya CCBRT ya jijini Dar es salaam Dr Wilbroad Slaa alipokwenda hospitalini hapo kuzindua jengo la bohari kuu ya madawa ya hospitali hiyo pamoja na canteen.
     Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa Bodi ya Hospitali ya CCBRT ya jijini Dar es salaam Dr Wilbroad Slaa na mabalozi na watoto wanaopata matibabu wakikata utepe kuzindua jengo la bohari kuu ya madawa ya hospitali hiyo pamoja na canteen. Kulia ni Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Mhe Seif S. Rashid 
     Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifunua pazia kuashiria kufunguliwa jengo l bohari ya madawa  huku akishuhudiwa na Rais wa Bodi ya Hospitali ya CCBRT ya jijini Dar es salaam Dr Wilbroad Slaa
     Rais Kikwete akitembezwa katika bohari ya madawa ya hospitali ya CCBRT ambayo ni ya kisasa kabisa
     Rais Kikwete akitembezwa katika bohari ya madawa ya hospitali ya CCBRT ambayo ni ya kisasa kabisa

     Rais Kikwete akitembezwa katika bohari ya madawa ya hospitali ya CCBRT ambayo ni ya kisasa kabisa

     Rais Kikwete akinyunyizia maji mmea a Mbuyu uliopandwa kama kumbukumbu
     Rais Kikwete akifunua kitambaa chenye jina la aina ya huo mbuyu
     
     Rais Kikwete akipokea mchoro wa kitambaa uliotengenezwa na kinamama waliopona ugonjwa wa Fistula

     Watendaji na wagonjwa wa Fistula wakishuhudia

     Rais Kikwete akiwa na mtoto ambaye mama yake anatobiwa Fistula hospitalini hapo
     Rais Kikwete na wadau wengine wakipozi kwa furaha na kinamama walio katika matibabu ya Fistula kutoka kila pembe ya Tanzania
     Rais Kikwete akiwapongeza kinamama hao kwa kuwa mashujaa na kujitokeza kutibiwa ugonjwa wa Fistula ambao unatibika
     Rais Kikwete akifurahi na mzazi na mtoto anayesubiri kufanyiwa upasuaji wa mdomo-sungura
     Rais Kikwete akiongea na mtoto ambaye baada ya kupata  matibabu ya kuondoa mtoto wa jicho hapo CCBRT  ameweza kuona kwa mara ya kwanza maishani mwake
     Rais Kikwete  na wote wakimshangilia mtoto ambaye baada ya kupata  matibabu ya kuondoa mtoto wa jicho hapo CCBRT  ameweza kuona kwa mara ya kwanza maishani mwake

     Rais Kikwete akimpongeza mtoto ambaye baada ya kupata  matibabu ya kuondoa mtoto wa jicho hapo CCBRT  ameweza kuona kwa mara ya kwanza maishani mwake
     Sehemu ya kupumzikia iliyopo karibu na hio canteen mpya iliyozinduliwa
     Sehemu ya kupumzikia iliyopo karibu na hio canteen mpya iliyozinduliwa
     Mtendaji Mkuu wa CCBRT Bw. Erwin Telemans akiongea katika sherehe za  kuzindua jengo la bohari kuu ya madawa ya hospitali hiyo pamoja na canteen
     Baadhi y wageni waalikwa na wafadhili wa mradi huo
     Mshauri wa ufundi wa hospitali ya CCBRT Dkt. Brenda D'Mello akitoa maelezo ya shughuli za hapo

     Sehemu ya kupumzikia iliyopo karibu na hio canteen mpya iliyozinduliwa
     Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Mhe Seif S. Rashid 
     Rais Kikwete akitoa hotuba yake ya kuzindua majengo hayo
     Rais Kikwete akitoa hotuba yake ya kuzindua majengo hayo
     Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipongezwa kwa hotuba na  Rais wa Bodi ya Hospitali ya CCBRT ya jijini Dar es salaam Dr Wilbroad Slaa baada ya  kuzindua jengo la bohari kuu ya madawa ya hospitali hiyo pamoja na canteen
      Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipongezwa kwa hotuba na  Mtendaji wa  Hospitali ya CCBRT ya jijini Dar es salaam Bw. Erwin Telemans baada ya  kuzindua jengo la bohari kuu ya madawa ya hospitali hiyo pamoja na canteen
     Rais wa Bodi ya Hospitali ya CCBRT ya jijini Dar es salaam Dr Wilbroad Slaa akimshukuru Rais Kikwete kwa   kuzindua jengo la bohari kuu ya madawa ya hospitali hiyo pamoja na canteen
     Rais Kikwete, Rais wa Bodi ya Hospitali ya CCBRT ya jijini Dar es salaam Dr Wilbroad Slaa, Waziri wa Afya na Mtendaji Mkuu baada ya  kuzindua jengo la bohari kuu ya madawa ya hospitali hiyo pamoja na canteen

     Karibuni vinywaji baridi waheshimiwa...."Anasema mmoja wa wahudumu
     Rais Kikwete akiongea na mabalozi mbalimbali
     Rais Kikwete na wadau wa hospitali ya CCBRT katika picha ya pamoja
      Rais Kikwete na watendaji  wa hospitali ya CCBRT katika picha ya pamoja
      Rais Kikwete na wafadhili  wa hospitali ya CCBRT katika picha ya pamoja
      Rais Kikwete na wajumbe wa Bodi ya  hospitali ya CCBRT katika picha ya pamoja
     Rais Kikwete akiagana na Balozi wa Ujerumani na mabalozi wengine baada ya sherehe hiyo
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: RAIS KIKWETE AZINDUA JENGO LA KUHIFADHIA MADAWA LA HOSPITALI YA CCBRT JIJINI DAR ES SALAAM IJUMAA OKTOBA 3, 2015 Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top