https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    RONALDO AWEKA REKODI MADRID, AMFIKIA GWIJI WA MADRID


    Mshambuliaji na mchezaji bora wa dunia Cristiano Ronaldo jana usiku alifunga magoli mawili na kufikisha magoli 501 ya maisha yake ya soka huku pia akifikia rekodi ya Raul Gonzalez ambaye alikua ndiye kinara wa mabao Madrid.
    Ronaldo sasa amefikisha magoli 323 sawa na Raul Gonzalez aliyoifungia Real Madrid pekee na sasa anatarajiwa kuweka rekodi yake binafsi ya ufungaji mara atakapofunga tena katika mechi zijazo.
    Ronaldo CR7 1Kitu cha pekee katika rekodi ya Ronaldo ni kufunga magoli mengi katika mechi chache. Ronaldo kafikisha magoli 323 katika mechi 308 wakati Raul amefikisha rekodi hiyo katika mechi 741.
    Ronaldo aliifungia Manchester United magoli 118 huku akifungia Sporting Lisbon magoli 55. Ronaldo sasa anakaribia kutengenezewa sanamu katika uwanja wa Santiago Bernabeu.
    Ronaldo CR7 2Ronaldo alifunga magoli hayo yote mawili katika mchezo wa klabu bingwa Ulaya Real Madrid ikiwafunga Malmo ya Sweden goli 2-0.
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: RONALDO AWEKA REKODI MADRID, AMFIKIA GWIJI WA MADRID Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top