Kila mtu ana mawazo yake na haya pia ni mawazo ya kipa wa zamani David James. Huyu jamaa amesema straight kwamba Romero ndio best goal keeper wa Manchester united na sio De Gea.
Alivyoambiwa atoe sababu alisema kwamba Romero ana three clean sheets tofauti na De Gea. Lakini kwa De Gea amefanikiwa kufanya hivyo mara moja tu tangu aanze kupewa tena namba kwenye kikosi. Baada ya mazungumzo James alikamilisha point yake kwa kusema Romero ni bora zaidi ya De Gea kwenye takwimu ambapo yeye anajali zaidi.
Unadhani Romero ni mkali zaidi ya De Gea…nipe comments zako.


0 comments:
Post a Comment