Sasa jana usiku Anthony Martial ame-post video akiwa juu ya Hover board ambayo watu wengi wanatamani kuwa nacho sasa hivi. Sasa hiki kidude watu wengi sana huwa wana dondoka navyo na kuumia.
Ukifualitia comments za mashabiki wa Manchester wengi hawajafurahia kumuona mchezaji wa juu ya hicho kidude wakihofia kwamba anaweza kuumia mguu wakati wana mechi muhimu ya Arsenal. Cheki video yenyewe hapa na chini kabisa ni baddhi ya comments zenyewe.


0 comments:
Post a Comment