VIJANA KUTOKA MIKOA MBALIMBALI WASHIRIKI MDAHALO KATIKA MAADHIMISHO YA WIKI YA VIJANA MJINI DODOMA
Mwakilishi
kutoka Mamlaka ya Udhibiti wa Mawasiliano Tanzania (TCRA) akiwasilisha
mada kuhusu vijana na mitandao ya kijamii katika mdahalo wa Vijana
(hawapo pichani) uliofanyika mjini Dodoma jana ikiwa ni programu katika
kuadhimisha Wiki ya Vijana kitaifa.
Mkurugenzi
Msaidizi wa Maendeleo ya Vijana sehemu ya Uratibu, Bibi. Esther Riwa
akiwasilisha mada ya ujasiriamali wakati wa mdahalo wa Vijana (hawapo
pichani) uliofanyika mjini Dodoma jana ikiwa ni program katika
kuadhimisha Wiki ya Vijana kitaifa.
Mwakilishi
kutoka Shirika lisilo la Kiserikali la Restless Development Bw.
Innocent Mallya akichangia mada wakati wa mdahalo wa Vijana (hawapo
pichani) uliofanyika mjini Dodoma jana ikiwa ni program katika
kuadhimisha Wiki ya Vijana kitaifa.
Meneja
Mafunzo kutoka Shirika lisilo la Kiserikali la TECC Bi. Anna Manoti
akiwasilisha mada wakati wa mdahalo wa Vijana (hawapo pichani)
uliofanyika mjini Dodoma jana ikiwa ni program katika kuadhimisha Wiki
ya Vijana kitaifa.
Mwakilishi
kutoka Shirika lisilo la Kiserikali la Vijana wa Jumuiya ya Afrika
Mashariki Tanzania (EAC Youth TZ) Bi. Mary Daniel akichangia mada wakati
wa mdahalo wa Vijana (hawapo pichani) uliofanyika mjini Dodoma jana
ikiwa ni program katika kuadhimisha Wiki ya Vijana kitaifa.
Mkurugenzi
Msaidizi wa Maendeleo ya Vijana sehemu ya Mafunzo na Makuzi, Bibi.
Venerose Mtenga akiwasilisha mada katika mdahalo wa vijana uliofanyika
mjini Dodoma jana ikiwa ni programu katika kuadhimisha Wiki ya Vijana
kitaifa.
Afisa
Vijana kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bw.
Eliakim Mtawa akiwasilisha mada kuhusu Mfuko wa Maendeleo ya Vijana
wakati wa mdahalo wa Vijana (hawapo pichani) uliofanyika mjini Dodoma
jana ikiwa ni program katika kuadhimisha Wiki ya Vijana kitaifa.
Baadhi
ya vijana wakifuatilia mada zilizowasilishwa wakati wa mdahalo wa
Vijana (hawapo pichani) uliofanyika jana mjini Dodoma ikiwa ni programu
katika kuadhimisha Wiki ya Vijana kitaifa.
0 comments:
Post a Comment