Katibu
Mkuu Ofisini ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Tawala za Mikoa na
Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Bw. Jumanne Sagini (kushoto) akimweleza
jambo Mwenyekiti wa Kampuni ya UDA-RT, Bw. Robert Kisena wakati
alipofanya ziara kwenye miundombinu ya mfumo wa Mabasi yaendayo haraka
kabla kipindi cha mpito hakijaanza mwezi ujao mwisho mwa wiki. UDA-RT
ndiyo kampuni itayotoa huduma ya usafiri katika kipindi hicho na tayari
imeshanunua mabasi 140.
Katibu
Mkuu Ofisini ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Tawala za Mikoa na
Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Bw. Jumanne Sagini (kushoto) akikagua
miundombinu ya mfumo wa mabasi yaendeyo haraka na kuli ni Mwenyekiti wa
Kampuni ya UDA-RT, Bw. Robert Kisena wakati alipofanya ziara kwenye
miundombinu ya mfumo wa Mabasi yaendayo haraka kabla kipindi cha mpito
hakijaanza mwezi ujao mwishoni mwa wiki. UDA-RT ndiyo kampuni itayotoa
huduma ya usafiri katika kipindi hicho na tayari imeshanunua mabasi
0 comments:
Post a Comment